Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Sanjali na katazo hilo pia wakataze kelele zitokanazo na milio ya kengere za makanisa ili watu wasihisi wapo mitaa ya Vatikano mjini Rome kila wakati.
 
Wakafanye adhana kwao mbwa hao. Kama wanaweza kuamka saa 11 asubuhi mbona bado wanakuwa maskini hivyo. Kwani mbona kuna saa siku hizi?
Sina tatizo na Adhana kusimamishwa ,kwasababu waislamu wanao swali huwa wala hawahitaji sana adhana,na hata zikizuiwa haitawafanya wasiswali

Upuuzi wako umeuonyesha kwenye mahusiano ya kuamka saa 11 alfajiri na mafanikio au kufanikiwa, sijui kama umewaza sawa sawa?
 
Jamaa waoga au ? Mana wao wanapigwa Adhan nyeupe isiyo na Mikwara minene kama shuka kugeuka Sanda, chumba kuwa shimo na usingizi kugeuka kifo.

Au type za kina Dk.Sulle zimefika na huko?
Hiyo mikwala ni ya kijinga sana,baada ya muda mtu anaizoea,mtu anatakiwa amjue Mungu wake vizuri,the rest ni mtereko tu
 
Wewe mpuuzi unaamka mapema saa 11 halafu unakaa kijiweni hadi saa nne usiku. Au wewe ni kipofu usioona mpumbavu usie na akili. Huna tatizo na wanaosali, kwani nani amekwambia ana shida na wanaosali, tuna shida na kelele za asubuhi, kwani hawana saa kuwaonyesha hizi ni saa za kusali? Sisapoti na kengele au speakers za kanisani pia. Hatutaki kelele za kipumbavu.
 
Sanjali na katazo hilo pia wakataze kelele zitokanazo na milio ya kengere za makanisa ili watu wasihisi wapo mitaa ya Vatikano mjini Rome kila wakati.
Zote zipigwe marufuku, sijawahi kusikia kelele za kengele kule Rome, au Vatican ni wakati wa kuchagua papa tu. Siyo kila asubuhi. Ndiyo dini zisitufanye watumwa.
 
Najua unajisikia vizur kwa kutukana it's ur problem huwa hainipi shida sana, ungesema tu adhana inasumbua au inapiga makelele,lakini hakuna uhusiano wa kuamka mapema na mafanikio,hata boda boda wanakesha lakini wanapata hela ya kula tu

Think big
 

Wakati uho uho Makanisa Denmark yanageuzwa Makumbusho na Maktaba mengine majumba ya Cinema nk.✍️

kupigwa marufuku Adhana sio tatizo wanaweza kuitana kwa Simu Dunia imebadilika sana👈
sio lazima kuitana kwa njia ya zamani 👈
 
SAFI SANA

Kabla ujamaliza kusifia uliza na MAKANISA je yapoje ndani ya Denmark sio Adhana MAKANISA yenyewe ‼️

Waumini hakuna !!!!
MAKANISA yamegeuzwa makumbusho mengine Cinema Mengine Maktaba

Hadi Lodge za kulala wageni
sasa ndugu yangu Lodge Ulaya ujue kwa Sheria zao🫡 wanakuja kusodomoana Kwenye MAKANISA hatari mimi sicheki sisifii i
naudhi sn🫡🫡
 
Dini zote zisilete taharuki.Watumiane sms.Kwani ni nani hajui muda wa kwenda kuabudu?
 
Ni sawa kabisa na wapo sahihi nchi za Scandinavia ni nchi za kikristo wana haki ya kukata Adhana na Nchi za kiislam wana uwezo wa kupiga marufuku Kengele/Makanisa kila mtu ana haki akiwa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…