..Tundu Lissu angekuwa mhaini kweli waendesha mashtaka wangetumia penal code ya 2023 ili ahukumiwe kifo.
Leo ndio mnajua Lissu ni Baba wa mtu? Kipindi mnambambikia hii kesi hamkuwaza hilo?Angekuwa Baba yako anasubiria hukumu sidhani kama ungeandika huu u****ulioandika hapa
Itachukua miaka mingi sana watanzania kuja kumwamini mwanamke na kumpa nchi. Not in our life timeYani Samuya hana bahati kbsa maskini ya Mungu yni dunia nzima imemuelemea!Alaf mambo ka haya kufanya mwanamke haipendezi hta kdg!
Busara kwa muhaini? Acheni utani. Labda kama hili ni taifa la kudimbabusara inaweza kutumika pia
Hata wakiahirisha … hii hukumu itachukua siku nyingi kusomwa yote.. kwa hiyo mambo hayaishii tu kesho.. itasimwa wiki nzimaHivi hakuna uwezokano wa kesi/hukumu kuarishwa kesho? Je majaji wote wale wako vizuri kiafya kuweza kuja mahakamani kesho?
Busara ingetumika kwa DPP kufunga au kuiondoa kesi mapema siyo kusubiria kesi iishe kwa mchakato wote kisha ije ipindishwe sheria.busara inaweza kutumika pia
Hayo ya 4R angeyafanya DPP kabla hatujafika hapa tulipo. Majaji hayo ya 4R hayawahusu na hawayatambui.unafahamu kitu kinaitwa 4R