Addicted to MMU

Jamani wanajf,hili jukwaa nimekuwa addicted nalo kupita kiasi. Sina tofauti na wale watumia madawa ya kulevya kama bangi. Ninaweza kulala bila kuongea na gf lakini sio kuchek jf na hasa MMU. Je hii addiction nikiendelea nayo haitaniadhiri kimahusiano? Wale walio kwenye serious relationship kama ndoa watuambie namna wanavyobalance muda wao wa kuwa na wapenzi wao na muda wa kuwa mtandaoni.
GZ, mbona kama unatudanganya? ulijoin january, sasa tuko october una post 45... ndio addiction hiyo? Au una ID kadhaa?
Kuna watu wanajoin na siku ya kwanza anapiga 100+, that is addiction sasa
 
Lol... Usijali my lovely wifi...kakako yupo, tena bukheri kabisaa!..tumemaliza honeymoon jana...afu tumepangiana mida ya kuingia jf ili kulinda ndoa yetu changa...atakuja kukusalimu baadae ila uhakikishe husni hatakuwepo! Love you sana!

My second Best Wifi (I know u know first ni King).... Hio ni GREAT news hivo sasa nina AMANI..... Love you more' (and please take care of him ipasavo....lol...)
 
Jamani mi hatupatani na wife wangu kisa ananiambia niko bize na jf, kasema au nimeoa jf? NAJITAHIDI KUREKEBISHA NASHINDWA NIFANYEJE?
 
My second Best Wifi (I know u know first ni King).... Hio ni GREAT news hivo sasa nina AMANI..... Love you more' (and please take care of him ipasavo....lol...)
Yap i know King ndo namba moja!... Kuhusu kumtake care your kaka shaka ondoa mpendwa.. Nashukuru kwa kunipenda wifi yangu...lol
 
Jamani mi hatupatani na wife wangu kisa ananiambia niko bize na jf, kasema au nimeoa jf? NAJITAHIDI KUREKEBISHA NASHINDWA NIFANYEJE?
Jiulize kati ya wife na jf kipi kina thamani kwako...ukipata jibu utaweza kurekebisha.
 
ha nini? tena we Asha we ndo addicted ka mimi tu,acha kujibaraguza hapa.
 
GZ, mbona kama unatudanganya? ulijoin january, sasa tuko october una post 45... ndio addiction hiyo? Au una ID kadhaa?
Kuna watu wanajoin na siku ya kwanza anapiga 100+, that is addiction sasa
Hakuna mahusiano kati ya idadi ya posts na addiction. Wapo watu wapo silent lakini wanafuatilia discussion zote.
 
Sema tu alipotaja mmea, ndo watu wamejifanya wapinga mihadarati. Binafsi nshakuwa teja la jf kitambo tu sema jamaa amewahi kuomba ushauri. I was on the way to put the thread asking for advice on the same issue, mweeeeeee!
 
Hilo sio swali, uliza swali gumu lenye akili utupe muda wakufikiri na kukupa jibu sahihi na lenye manufaa kwako.
 
gz, mbona kama unatudanganya? Ulijoin january, sasa tuko october una post 45... Ndio addiction hiyo? Au una id kadhaa?kuna watu wanajoin na siku ya kwanza anapiga 100+, that is addiction sasa
haelewi alisemalo huyu!!!anachati na shontolinto wake pm
 
Back
Top Bottom