Addicted to "Bar Maids"

hatari ipo wapi? Kuwa na namba ya msichana ni hatari kumbe? I did not know!!!btw: Hakuna watu wanaofahamiana na watu kwa undani kama "bar maids"! These "ladies" knows everything about everybody - trust me!
ni kweli kabisa naungana na wewe nilishawahi kuwaambia watu ambao mwanzo walikuwa wakinichukulia kama wengi wanavyodhania kuwa kwenda bar kuchukua hawa wadada< ukweli ni kuwa kiusalama ukizoeana nao wanasaidia sana kiusalama
 
vp dogo mzima shishi?unapendelea bar ipi yenye wahudumu wanaume?
ile inayohudumia na maafande wa polisi baracks zote sababu pale unahudumiwa na mwanaume kukupatia bia hakuna wanawake labda ile ya pale tazara flats kuna mmoja ina wadada
 
Leo ni Mkoroshobangi halafu King Start kaunta ya nyuma kumuona Fatuma!
 
Bora kwetu songea sina haja ya kuchukua namba zao za simu...... Namwambia ukifunga tukutane geto au chini ya mwembe ndipo tunacheza ndombolo ya solo. Dah mpenzi wangu kibibi mie
 
Usalama wa taifa ndo zao ili wapate data zao...wao kazini 24/7
 
muhanga - Kama haujawahi kukaa na kuongea na Bar Maids unaweza ukawa unawachukulia POA! Lakini nenda pale ROMBO Green View au Rose Garden umpe mmoja bia halafu mdadisi kuhusu kitu fulani au mtu fulani - you will be amazed!

mydear i know them very well, thats why nasema unajiisikiaje endapo someone knows 'everything' about you, halafu anaweza aka-exchange your 'everything' by one bottle of beer! does your everything worth that one beer? ndio maana kwa mtazamo wangu naona si salama sana kuwazoea sana watu hawa, unaweza ukaona advantage endapo unataka kujua ya wenzio lakini kama ambavyo wewe unayapata kwa urahisi mark you na yakwako pia yanaaanikwa hivyo hivyo kwa bei rahisi tu!
 
Ngoja nimjibie skulimeti wangu.............Utofauti wao ni huu hapa chni:

Unamkamata leo unamega........... kesho unamgawia rafiki yako..........Anamega.......... Nawe ukimkuta na jamaa yake, anakuunganishia kwa rafiki yake......unamega.....Mkikutana tena mnamegana............Maisha yanasonga mbele!

Akikuona na wife wako anauchuna kama hakujui!, si wasumbufu, hawana wivu wa kijinga, wako salama zaidi (kinga kwao ni a MUST), hawana gharama kubwa....bia tatu, nyama choma na buku tano/kumi ya kumtoa mkataba umeisha...hawahitaji kupelekwa hotelini...gesti bubu au hata kwenye room zao wao hawana noma.

Honestly NAPATA TAABU SANA KUPIGA PICHA YA MWANAMUME MWENYE MAWAZO KAMA HAYO HAPO JUU, NA ANAKUWA COMFORTABLE KABISA NA RELATIONSHIP NA WAUZA BAA KIBAO ETI TU KWA AJILI YA SABABU HIZO HAPO JUU!

Halafu pia husifiwa kwa kuvaa

 
Kumbuka mwosha naye huoshwa...................................and what comes around goes around..............................umepewa uwanja mpana wa kuchagua sasa kazi kwako lakini kila kosa ufanyalo ujue malipo ni hapa hapa duniani..................................
 
Mabaamedi watamu sana

Inahitaji moyo sana kuchangia katika uchafu...................................unahitaji uew mwehu hivi ndiyo utaona ipo raha huko............lol
 

Mtandao huo mlioujenga utakapoanza kuporomoka kwa maradhi yasiyo na tiba ndipo maswali ya kimsingi mtakapoanza kujiuliza................was it worhty the pain and the anguish..................................................the answer is definitely nope in a millions years...............
 
easy come ... easy go. huwa hawana wivu kwa kuwa mapenzi yao sio ya mkataba mrefu... ni pale mnapohitajiana tu after that kila mtu kimpango wake.. umehitaji huduma amekupa nae alihitaji bia na elfu 2 umempa basi anaendelea na maisha yake! kama ilivyo chips mayai buku jero unakula, two hrs later unaenda kunya basi umemaliza mkataba! wako cheap kiasi kwamba hata ukimwambia mka malizane nyuma ya ukuta wa choo anakubali!
 
Watu wengine hawathamini hata miili yao, kila mtu anaona dudu yake utadhani sifa vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…