CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Hygeia siwezi kukunja uso kwasababu najua ni kweli kabisa unachosema. Watu wengine wanaogopa kabisa kurudi kwenye nyumba zao wenyewe walizojenga kwasababu misuso, kelele,kiburi, jeuri za wake zao. Basi wakipata pa kubembelezwa hata kama wanajua ni uongo wanafurahia hivyo hivyo.
Please mwambie na Mama_Enock