maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,502
- 6,412
mkuu tupo wengi....they are easy goers na hawana gharama..teh teh teh fidel anawajua hawaBar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?