Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
- Thread starter
- #61
Ana rafiki yake mmoja siku hizi namwona pale PK Pub Tegeta.
Hivi yule Mwainaisha alikuwa kwa MMASI aka Zanzibar yupo wapi siku hizi? Jana niliona mtu kama yeye mitaa ya Standard Bar - Ubungo!