Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,950
- 15,579
ccmunafikiri shetani ni nani ??
ccmunafikiri shetani ni nani ??
Yan lile lilikuwa ni jitu tu likajikuta Rais eti😂There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Haya Tulieni mama amekuja kuwaponya 😂Watu wanateseka kwa sababu bado watu wameumizwa na yule firauni laanatullahi magufuli kuna waliofanywa vilema wa maisha kuna waliouliwa jamaa zao kuna waliovunjiwa majumba nk
7th 🇹🇿 president ni LISSU.✍️📌It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.
Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.
Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.
Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
- Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
- "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Mwisho Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Mwacheni apumzike Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniWatu wanateseka kwa sababu bado watu wameumizwa na yule firauni laanatullahi magufuli kuna waliofanywa vilema wa maisha kuna waliouliwa jamaa zao kuna waliovunjiwa majumba nk
Sasa kama watamponda Watu wale wale ambao wanakula naye Mema Ya Nchi kwa namna wanavyotaka sisi wengine tun kosa gani?Tanzania kumejaa watu wanafiki na wachumia tumbo!!
Subiri hata Rais Samia atakapomaliza muda wake!watu wale wale ambao Kila wakati mama,mama ndio watakuwa wa kwanza kumnanga!!
Utasikia tu, hakukuwa na Rais pale!!
Aliwakandsmiza hadi baadhinya hao "wanyonge" mkuuMimi sio mwana ccm, na natamani hili chama la mboga mboga litoke madarakani kwa namna zote.
Lakini Magufuli alikua JEMBE
Magufuli anachukiwa/alichukiwa na wezi wote, vyeti feki wote, wenye mitandao wote, waliotibuliwa dili chafu wote.
Ndio mana alipata wanafiki wengi nyuma yake ambao moyoni walimchukia ila kwenye jua walijipata kumsifia kwa kila namna.
Hii nchi yetu ina watu wazembe wengi, wala rushwa wengi sana, wakwepa kodi wengi sana, haya makundi yote huwezi kuishi nayo kwa kuyabembeleza lazima ukubali kuchukiwa.
Hata wewe mtoa mada leo ukikabidhiwa hii nchi kama kweli una nia ya dhati ya kuikomboa nchi, na kuitakia mema maamuzi yote ya msingi utakayofanya lazima yatawaumiza wachafu wote, nawe utajikuta uanchukiwa na kila mwenye uchafu wake.
Nimemaliza.
Vyeti feki mtaongea Mengi kuhusu Magufuli hakuna litakalo wasaidia amekwisha watumbua sasaThere is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Nashangaa Samia kashindwa kuwafanya wasahau mateso hadi sasa.Mpaka leo bado mnateseka na JPM tuu 😂
Kwahiyo wataishi na hiyo chuki kwa maisha yao yote?Watu wanateseka kwa sababu bado watu wameumizwa na yule firauni laanatullahi magufuli kuna waliofanywa vilema wa maisha kuna waliouliwa jamaa zao kuna waliovunjiwa majumba nk
Si aligombea na yeye sasa alijikuta tu vp?Yan lile lilikuwa ni jitu tu likajikuta Rais eti😂
Ila bado walimlilia sana alipokufa na kwenda kumuaga na hadi leo bado wanamlinganisha Samia Jiwe kila wanapokosoa utawala wa Samia.Aliwakandsmiza hadi baadhinya hao "wanyonge" mkuu
HAo wanyonge aliowakandamiza hawakumlilia --- wanyonge wengine walimliliaIla bado walimlilia sana alipokufa na kwenda kumuaga na hadi leo bado wanamlinganisha Samia Jiwe kila wanapokosoa utawala wa Samia.
Mama si kachaguliwa na Magufuli kuwa mwenza wake au vipi? Hivi Shetani humchaguwa malaika kuwa msaidizi wake?Haya Tulieni mama amekuja kuwaponya 😂
Hivi wewe huna chuki na shetani wakati wote ?Kwahiyo wataishi na hiyo chuki kwa maisha yao yote?
Of course kwa nyinyi aliyewalambisha asali , mtakuwa mkisema maneno hayo , lakini kwa sisi tuliopoteza ndugu zetu na tukafanywa vilema , hatuwezi kulisahau zimwi liuwaji lille , wacha litokomee kuzimu