Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,902
Kukubalika kwa Jiwe hakujaanza alipokufariki tu bali ni tokea akiwa hai madarakani, hiyo dhana ya ujinsi na uzanzibari haikuwa hivyo mwanzoni wakati anapokea hiyo nafasi alikubalika sana tu ila kadri muda ulivyozidi kwenda ndio hali ikabadilika hivyo binafsi sio mashiko katika hiyo hoja.DHana kwamba Magu wamemuua + Rais mwanamama wa kizenji
Hayo mawili mimi ndo naona sababu