Actually Magufuli was not a presidential material

It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.

Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.

Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.

Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

P
Kwa hio huyo mtoa kibali aliona bora samia kuliko magufuli ?
 
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Baloney !
 
And what about Sheikh Hasina!
 
It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.

Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.

Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.

Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

P
Hata wale wanaoiba kura ni Mungu pia anapanga?
 
Japo wizi wa kura sio mpango wa Mungu ni mipango ya shetani, lakini ni Mungu tuu pekee ndiye huweka serikali za mataifa yote!, hivyo huruhusu mipango ya kishetani , viongozi wa kishetani na serikali za kishetwani!. Hata madikiteta kina Hitler, Iddi Amini na watawala wote hata wanaingia kwa wizi wa kura, au kwa Mapinduzi kama yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ni Mungu!.
P
 
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Actualy urais unapenda sana states man , jpm was not, he was more of mtendaji , prime minister style
Kitu ambacho watu hawakuzoea but mambo yalivyo hii nchi ilihitaji mtendaji ili ipige hatua

Nchi haikuhitaji tena mwanasisasa, states man
 
Anaye taka kuwa Rais lazima awe na vision ya kuwa rais atleast miaka kumi kabla. Jpm alipewa urais bila kutegemea ndio maana nchi ikawa kituko same applies to the later.
Vision (maono) ni ya mtu.
Yeye binafsi ndiyo huona.
Wewe huwezi kuona au kujua maono (vision) ya mtu mwingine.
Unajuaje kama Magufuli alikuwa na maono ya kugombea uraisi kabla ya 2015?
 
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
JPM he was a PM material.
But he shaved the way, and died front line to show how things supposed to be.

Daniel in lions 🦁 Mouth.
 
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Neither SSH
 
Japo wizi wa kura sio mpango wa Mungu ni mipango ya shetani, lakini ni Mungu tuu pekee ndiye huweka serikali za mataifa yote!, hivyo huruhusu mipango ya kishetani , viongozi wa kishetani na serikali za kishetwani!. Hata madikiteta kina Hitler, Iddi Amini na watawala wote hata wanaingia kwa wizi wa kura, au kwa Mapinduzi kama yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ni Mungu!.
P
Ajabu kweli!
 
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
You might be neither a fool nor stupid. You are a total shithole and idiot. Leave JPM plz. Talk to your bogus Mama.
 
It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.

Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.

Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.

Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

P
Kibari cha Samia nacho kimefutikaka japo jk na genge lake wanalazimisha kwa manufaa yao binafsi
 
Yeyote anaweza kuwa Rais hata wewe mtoa hoja...hakuna mtu ambae unaweza kumwita president material na mwingine asiwe U Rais ni sawa tu na uigizaji lazima ufate scripts...lakini kwa nchi zetu hizi zenye laana wengi wakisha kikalia hicho kiti huwa kina wawasha...wanajikuta muda mwingi wanautumia kujikuna​
 
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Actually he was not Presidential material because and sure that he knew how to dealt with MAFISADI NA WABADHIRIFU WA MALI ZA NCHI. 😳🙌🤷🏿‍♂️
 
Mh! ukute nchi ndo haikumfaa nafikiri yule angekuwa kwenye nchi ambayo ipo serious angeifikisha mbali!, lakini alikuwa akipambania rasilimali hapohapo watu wa humuhumu ndani wanampinga!.

Mi naona kama nchi ndo haikuwa tayari kuwa na kiongozi wa namna yake maana imejaa wahujumu uchumi tupu!, hata hivyo nimeshangaa ulipoonyesha kama kifo ndio sababu ya yeye kuwa kama hitimisho la uongozi wake!. Ndugu sote tutakufa tu so please don't take it as a judgement.
Kukubali Jiwe awe Rais wako jua akili zako na za Lucas ziko sawa
 
Back
Top Bottom