Actually Magufuli was not a presidential material

Actually Magufuli was not a presidential material

There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
A u sure
 
Mh! ukute nchi ndo haikumfaa nafikiri yule angekuwa kwenye nchi ambayo ipo serious angeifikisha mbali!, lakini alikuwa akipambania rasilimali hapohapo watu wa humuhumu ndani wanampinga!.

Mi naona kama nchi ndo haikuwa tayari kuwa na kiongozi wa namna yake maana imejaa wahujumu uchumi tupu!, hata hivyo nimeshangaa ulipoonyesha kama kifo ndio sababu ya yeye kuwa kama hitimisho la uongozi wake!. Ndugu sote tutakufa tu so please don't take it as a judgement.
Umeandika utumbo hadi naona aibu mimi. Magu hakuwa presidential material kubali au ukatae huo ndio ukweli, ni wapumbavu pekee ndio watakaoona alikuwa mtu sahihi
 
Back
Top Bottom