Actually Magufuli was not a presidential material

Actually Magufuli was not a presidential material

Kibari cha Samia nacho kimefutikaka japo jk na genge lake wanalazimisha kwa manufaa yao binafsi
Kitendo cha JPM kutwaliwa ni kufutiwa kibali, kibali hicho akapewa Samia, ni uthibitisho Samia ni kibali Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

Ila kwa mujibu wa hoja HII kibali chake kilikuwa mpaka 2025 tuu!.

Taarifa za kibali cha 2025 -2030 ziko kwenye mchakato!

P
 
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
It's important to approach such reflections with fairness, acknowledging both achievements and criticisms where appropriate.
 
Mh! ukute nchi ndo haikumfaa nafikiri yule angekuwa kwenye nchi ambayo ipo serious angeifikisha mbali!, lakini alikuwa akipambania rasilimali hapohapo watu wa humuhumu ndani wanampinga!.

Mi naona kama nchi ndo haikuwa tayari kuwa na kiongozi wa namna yake maana imejaa wahujumu uchumi tupu!, hata hivyo nimeshangaa ulipoonyesha kama kifo ndio sababu ya yeye kuwa kama hitimisho la uongozi wake!. Ndugu sote tutakufa tu so please don't take it as a judgement.
Absolutely. Balanced critique is key. Leaders, like all humans, have strengths and weaknesses. Recognizing both allows for honest historical reflection and helps citizens learn from the past to build better governance in the future.
 
Kitendo cha JPM kutwaliwa ni kufutiwa kibali, kibali hicho akapewa Samia, ni uthibitisho Samia ni kibali Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

Ila kwa mujibu wa hoja HII kibali chake kilikuwa mpaka 2025 tuu!.

Taarifa za kibali cha 2025 -2030 ziko kwenye mchakato!

P
Ni kweli kuwa wengi huamini kuwa mamlaka hutoka kwa Mungu, na kwamba kila kiongozi hupata nafasi hiyo kwa kibali chake. Hata hivyo, tafsiri ya "kibali cha Mungu" hutofautiana kulingana na mitazamo ya kiimani na kisiasa.

Wengine huamini kuwa hata viongozi wenye maamuzi tata huweza kuruhusiwa kutawala kwa kusudi maalum—ama la mafunzo, la kurekebisha njia ya jamii, au la kuonyesha tofauti kati ya haki na dhuluma. Kwa hiyo, hoja ya kuwa “kibali” pekee kinatosha kuitakasa kila utawala inaweza kuchukuliwa kwa tahadhari.

Ni muhimu pia wananchi kuwajibika kuchambua, kuhoji, na kusimamia viongozi wao bila kuhalalisha kila kitu kwa hoja ya kiimani pekee.
 
Kitendo cha JPM kutwaliwa ni kufutiwa kibali, kibali hicho akapewa Samia, ni uthibitisho Samia ni kibali Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

Ila kwa mujibu wa hoja HII kibali chake kilikuwa mpaka 2025 tuu!.

Taarifa za kibali cha 2025 -2030 ziko kwenye mchakato!

P
MV5BNTljZDllNDEtODFjZi00Mzc2LWI5ZTItMTAxZjNiNTNlNTM2XkEyXkFqcGc@._V1_.jpg
 
Acheni kuangaika na marehemu yeye hawezi kujitetea hakuna mkamilifu ukimwambia Babu Seya Magufuli ni mbaya mtauana au Wakandarasi wa nchi hii au Machinga ameondoka
 
Neither dictator Magufuli nor the incumbent president who is a presidential material but thanks to the unfair electoral rules and the partisan security apparatus that helped install them to power.

If I'm to give a summary dossier for both their tenure and character I can describe them as the national villains.
 
It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.

Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.

Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.

Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Mwisho Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
kura zinaibiwa , alafu mnasema mpango wa Mungu - nyi ni waumini wa namna gani wakuu?
 
Please Pascal ,wacha kumsingizia mungu utapeli na wizi wa kura na kuuwa watu kupata madaraka. hapo ni shetani ndiye anahusika
 
Please Pascal ,wacha kumsingizia mungu utapeli na wizi wa kura na kuuwa watu kupata madaraka. hapo ni shetani ndiye anahusika
hata shetani hausiki --- ni wao wenyewe tu
 
Japo wizi wa kura sio mpango wa Mungu ni mipango ya shetani, lakini ni Mungu tuu pekee ndiye huweka serikali za mataifa yote!, hivyo huruhusu mipango ya kishetani , viongozi wa kishetani na serikali za kishetwani!. Hata madikiteta kina Hitler, Iddi Amini na watawala wote hata wanaingia kwa wizi wa kura, au kwa Mapinduzi kama yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ni Mungu!.
P
hatari sana mkuu - kidumu chama
 
Back
Top Bottom