Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,902
- 71,445
Mkuu BAK hawa jamaa wako kama makahaba. Kahaba likijua unazo basi litaguganda hata uliambie kwa herufi kubwa SIKUTAKI.Hawa wasaliti baada ya kuona mzoga wao hawana pa kuutua/kuupeleka ili kuficha aibu yao, sasa wanataka kuja kuusitiri kwenye "genge la wasaka tonge" waende zao huko tumeshawafamu vizuri sana kamwe hatuwezi kuwakaribisha ili waje kufanya usaliti wao.
Sasa UKAWA hapa wanalo! Jamaa watakuja sana kuomba kujiunga kwa njia nyingi na wakilegea tuu wameingia mkenge. ACT ni makahaba wa kisiasa na hatari kwa ustawi wa nchi
Last edited by a moderator: