ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

Hizi habari si za kweli, ni vigumu kumkaribisha huyu popo brain ya ukawa. Wananchi tuna imani kubwa sana na ukawa. Ukawa wasikubali ng'ooooooo

Wakimkubali atawapasua katikati maana sio mtu wa kumuamini tena
 
Hizi habari si za kweli, ni vigumu kumkaribisha huyu popo brain ya ukawa. Wananchi tuna imani kubwa sana na ukawa. Ukawa wasikubali ng'ooooooo

Ntajie mwenye uwezo kuliko zitto ukianzia na hoja/busara/utanashati/uvumilivu n.k hapo ukawa,ukinitajia hata wawili najipiga ban ya sku 5.
 
Tumesema hatumtaki zzk, aende kwa rafiki zake ccm na adc, nini kimemsibu hadi kuleta maombi hayo? Ndumila kuwili huyoooooooi
 
Msaliti akikaribishwa UKAWA, UKAWA unakuwa umepoteza uwezo wa kufirki, nitapinga kwa nguvu zote
11295848_659906414143463_5713943072390886982_n.jpg
 
Naona ma lumumba mmejipanga hapo juu kama mazuzu...
 
Akiikuza ACT yake na yule professa uchwara anaehongwa 200 basi tutajua zito jembe, la sivyo atakuwa Lyatonga style.
 
Mbona naona wanajibizana upande mmoja wengine wako wapi jamani,huu Uzi una walakini
 
Hawa wasaliti baada ya kuona mzoga wao hawana pa kuutua/kuupeleka ili kuficha aibu yao, sasa wanataka kuja kuusitiri kwenye "genge la wasaka tonge" waende zao huko tumeshawafamu vizuri sana kamwe hatuwezi kuwakaribisha ili waje kufanya usaliti wao.

Waje wawe wasikilizaji tu maana mgawanyo Wa majimbo tulishamaliza! Watu Wa ndimi 2 sisi tutawaweza wapi? Nawashauri waende waimarishe umoja wao na Mme wao!!
 
hivi hamjui kwann ACT wametuma barua ya kutaka kujiunga UKAWA? ACT wanafuta kale kamsemo kuwa wamekuja kugawa kura za upinzani. Soon wataanza ziara ya awamu ya pili wakati wabunge Wa upinzani wakiwa mbungeni. Wakifika kwa wananchi wanachakusema pale watakapoitwa wasaliti wa upinzani, kuwa tulitaka kuwa sehemu ya UKAWA ila wametukataa.
Jiandaeni kutafuta sababu yengine ya kuwaambia wananchi dhidi ya ACT wazalendo.
 
Viongozi wa UKAWA hawawezi kukaribisha chama cha Zitto kwenye umoja wao. Wanajua kuwa Zitto ana akili nyingi kuliko walizonazo vilaza wa ukawa

Hot Laddy, I think you are too hot especially this time. Jitahidi kujidhibiti maana unatamka mengine ambayo hata inatia shaka na labda only when someone is too hot. UKAWA na sio ukawa, ina viongozi makini sana. Tena wenye vision ukilinganisha na wa makundi au vyama vingine
 
singo iliyoanzishwa na Chadema kuwa ACT ni kibaraka wa CCM na imekuja kugawa kura za upinzani inazimwa na Chadema pia kwa kukataa ACT wasijiunge Ukawa.
Kwa mtazamo wangu naona hiyo barua wametuma on purpose wakijua kabisa kujiunga na Ukawa haiwezekani.
Soon awamu ya pili ya ziara ya kufyeka magugu inaanza. So ile singo ya kusaliti wapinzani haina nguvu tena.
 
Hawa wasaliti baada ya kuona mzoga wao hawana pa kuutua/kuupeleka ili kuficha aibu yao, sasa wanataka kuja kuusitiri kwenye "genge la wasaka tonge" waende zao huko tumeshawafamu vizuri sana kamwe hatuwezi kuwakaribisha ili waje kufanya usaliti wao.
Na UKAWA nitawashangaa sana kama watakubaliana na hili genge la wasaliti! Si Luhollah Khomeiney alikuwa anadai amewashika CHADEMA sasa nini tena kinamwashawasha mpaka afikie hatua ya kutaka kuungana na UKAWA? Waendelee kuchukua hayo majimbo waliyokuwa wanadai watayachukua, na kwa taarifa yake UKAWA watampiga chini hata huko kwenye jimbo lake kama atagombea!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Job K sidhani kama hili la kuwakaribisha hawa wasaliti litatokea, kama litatokea hata mimi nitashangaa sana na ndio utakuwa mwisho wa mshikamano mkubwa ambao umeonyeshwa hadi sasa ndani ya UKAWA. Halafu kitu ambacho nimekifurahia zaidi ni ukomavu mkubwa ulioonyeshwa na Viongozi wa juu ndani ya UKAWA, badala ya kupoteza muda wao kuanza kujibizana na hawa wasaliti kwenye vyombo vya habari wameamua kuwapotezea tu hivyo hata kelele zao za kudai kutaka kujiunga na UKAWA zimekosa nguvu.

Na UKAWA nitawashangaa sana kama watakubaliana na hili genge la wasaliti! Si Luhollah Khomeiney alikuwa anadai amewashika CHADEMA sasa nini tena kinamwashawasha mpaka afikie hatua ya kutaka kuungana na UKAWA? Waendelee kuchukua hayo majimbo waliyokuwa wanadai watayachukua, na kwa taarifa yake UKAWA watampiga chini hata huko kwenye jimbo lake kama atagombea!!
 
Last edited by a moderator:
zitto yuko talented lakini hayuko organized, hajielewi na ametawaliwa zaidi na ubinafsi, kiburi na show!. Zitto unaweza kumhamisha kwenye mission yake kwa kumsifia na kumpamba. Ameonyesha kukosa sifa za uongozi kwa sababu haonyeshi nia ya dhati ya kufikia malengo wala uchungu wa kutokufikiwa malengo.

Hayuko tayari ku sacrifice personal interests kwa maslahi ya public ambayo baadaye ingemlipa satisfactions mara mia na historia ya nchi siku zote ingemtaja kuliko kiburi, maringo na kujaribu kuharibu maslahi ya umma bila chembe ya hisia. Anaamua kusaliti mission kwa sababu tu amekosa kuabudiwa kwa kiwango anachotaka ama amepata recognition kubwa hata kama ni flattering upande pinzania, na hivyo kuwa tayari kuwageuka na kuwaua watanzania wote ili mradi atumikie kundi haram linalomsifia hata kama ni kwa njia haram.

Baada ya matusi kwa ukawa, anataka kujiunga nao ama kwa kuwa anahitaji kuendelea kuwa ndani ya adui ili aweze kummaliza vizuri, ama anajisikia kusalitiwa na waliokuwa wanamwabudu kwa kuwa hawezi kufanya madhara zaidi kwa chadema na sasa ukawa na hivyo anaamua kuwageuka, au anarudi baada ya kuona anakuwa mpweke kwa kutengwa na hivyo anatafuta peers, au inaweza kuwa sababu yoyote.

Lakini katika mazingira ya vita vya ukombozi, watu kama zitto hakuna mtu generali mwenye akili timamu anaweza kuwaamini kwa lolote kwa sababu hawaaminiki. Zitto amejidhirisha ni namna gani hawezi kuthamini wala kujali commitments. Ni mtu irresponsible na hawezi kuwaza mara mbili kabla hajaamua kusaliti haki kwa sababu kwake kusifiwa na kuabudiwa ndivyo vya kwanza, mengine hayana thamani.

Ninaomba ukawa, kama kuna sababu ya kumjibu, ninashauri mu acknowledge receipt ya maombi yake, lakini mwambieni mtajibu mwakani kwa sasa mna tight schedules kiasi cha kukosa uwezekano wa kuingiza mchakato wa usajili wa wanachama wapya wa ukawa.

makofi tafadhali you know very well this guy called zzt
 
Zitto yuko talented lakini hayuko organized, hajielewi na ametawaliwa zaidi na ubinafsi, kiburi na show!. Zitto unaweza kumhamisha kwenye mission yake kwa kumsifia na kumpamba. Ameonyesha kukosa sifa za uongozi kwa sababu haonyeshi nia ya dhati ya kufikia malengo wala uchungu wa kutokufikiwa malengo.

Hayuko tayari ku sacrifice personal interests kwa maslahi ya public ambayo baadaye ingemlipa satisfactions mara mia na historia ya nchi siku zote ingemtaja kuliko kiburi, maringo na kujaribu kuharibu maslahi ya umma bila chembe ya hisia. Anaamua kusaliti mission kwa sababu tu amekosa kuabudiwa kwa kiwango anachotaka ama amepata recognition kubwa hata kama ni flattering upande pinzania, na hivyo kuwa tayari kuwageuka na kuwaua Watanzania wote ili mradi atumikie kundi haram linalomsifia hata kama ni kwa njia haram.

Baada ya matusi kwa ukawa, anataka kujiunga nao ama kwa kuwa anahitaji kuendelea kuwa ndani ya adui ili aweze kummaliza vizuri, ama anajisikia kusalitiwa na waliokuwa wanamwabudu kwa kuwa hawezi kufanya madhara zaidi kwa CHADEMA na sasa UKAWA na hivyo anaamua kuwageuka, au anarudi baada ya kuona anakuwa mpweke kwa kutengwa na hivyo anatafuta peers, au inaweza kuwa sababu yoyote.

Lakini katika mazingira ya vita vya ukombozi, watu kama Zitto hakuna mtu generali mwenye akili timamu anaweza kuwaamini kwa lolote kwa sababu hawaaminiki. Zitto amejidhirisha ni namna gani hawezi kuthamini wala kujali commitments. Ni mtu irresponsible na hawezi kuwaza mara mbili kabla hajaamua kusaliti haki kwa sababu kwake KUSIFIWA NA KUABUDIWA ndivyo vya kwanza, mengine hayana thamani.

NINAOMBA UKAWA, KAMA KUNA SABABU YA KUMJIBU, NINASHAURI MU ACKNOWLEDGE RECEIPT YA MAOMBI YAKE, LAKINI MWAMBIENI MTAJIBU MWAKANI KWA SASA MNA TIGHT SCHEDULES KIASI CHA KUKOSA UWEZEKANO WA KUINGIZA mchakato wa USAJILI WA WANACHAMA WAPYA WA UKAWA.

MAKOFI TAFADHALI YOU KNOW VERY WELL THIS GUY CALLED ZZT:hatari::hatari::hatari:
 
Mnaleta tu umangi meza hapa tz.
Ubaguzi unaanzia kwenye familia mwisho unakuwa donda ndugu.
 
Back
Top Bottom