ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

Hawa wasaliti baada ya kuona mzoga wao hawana pa kuutua/kuupeleka ili kuficha aibu yao, sasa wanataka kuja kuusitiri kwenye "genge la wasaka tonge" waende zao huko tumeshawafamu vizuri sana kamwe hatuwezi kuwakaribisha ili waje kufanya usaliti wao.
Mkuu BAK hawa jamaa wako kama makahaba. Kahaba likijua unazo basi litaguganda hata uliambie kwa herufi kubwa SIKUTAKI.
Sasa UKAWA hapa wanalo! Jamaa watakuja sana kuomba kujiunga kwa njia nyingi na wakilegea tuu wameingia mkenge. ACT ni makahaba wa kisiasa na hatari kwa ustawi wa nchi
 
Last edited by a moderator:
Huyu siye Zitto peke yake.Huu ni mkakati ulio na wengi nyuma yake,wasioutakia mema ukawa na taifa kwa ujumla.Kuikaribisha Act ni kukaribisha kansa ndani ya harakati za mageuzi.Ukawa usithubutu hata kufikiri kujiunga na hawa watu.Na wanataka kusikia mkiwajibu kwamba mmewakatalia alafu waseme,"Unaona ukawa ni waroho wa madaraka hawataki ushirikiano",.. Ingawa lazima watasema,..ukawa naomba msijibu ombi lao,hii ni kejeli na mtego.
 
Hilo ndilo wanalotaka ACT. Hutaliona hilo isipokuwa uwe na fikra kidogo tu.

Barua yao itajibiwa lakini mpaka ijadiliwe. Hii ndio njia sahihi itawafaa sana,huna haja ya kumjibu msaliti na mnafiki moja kwa moja. Sharti usiwakubalie wala usiwakatalie ndio siasa.:msela:
 
Barua yao itajibiwa lakini mpaka ijadiliwe. Hii ndio njia sahihi itawafaa sana,huna haja ya kumjibu msaliti na mnafiki moja kwa moja. Sharti usiwakubalie wala usiwakatalie ndio siasa.:msela:

Wao wanaombea wasijibiwe hata kidogo. Wanazidi kujipasha kwa barua moja tu. Kumbuka hilo.
 
ACT wazalendo wamesoma alama za nyakati ndo means wameomba kujiunga UKAWA kwa sababu;

*Hawana mbunge hata mmoja.

*Hawana hata diwani.

*wameonekana kutokuwa kivutio kwa wananchi.

*ACT Ina viongozi mmoja tu bila maamuzi yake hakuna kitu kitafanyika.

*Kiongozi mwenye mvuto ni mmoja tu na ana mvuto kwa wachache,wengine hawana mvuto.

*chama kimefanya mikutano yake na hakikuwa na mvuto.

Kwahiyo hiyo kwa vyovyote vile washasoma alama za nyakati na kuona kwa Sera ya ukawa kuweka mgombea wa nafasi za ubunge na udiwani anayekubalika kwa eneo hilo hawatapita,na hata kwa maeneo ambayo walikuwa wanategemea ukawa wakiungana ndo mwisho wao,so wakaamua kujiunga japo na wao wafikiriwe ili wapewe maeneo machache ambayo wataweka wagombea waungwe mkono na ukawa maana vinginevyo wasingekubalika.
 
Vyama vyote vya ukawa vilisoma alama za nyakat ndiomaana vikaungan! unayoyasema kwa ACT wazalendo ni applicable kwa vyama vyote vya ukawa, upo hapo ee kungekua kunachama kinachoweza kujitegemea kisingeungana.
 
Hiki chama cha kifashisti tayar wameanza kupumzika kwa amani mmoja baada ya mwingine
 
Bunge likisha vunjwa inakua ngoma draw hakuna cha ccm, cdm wala ACT vyama vyote vinakua na wabunge zero wakati wakuingia kwenye kinyang'anyiro! au chama chako wewe wabunge walichaguliwa miaka 10 nn? utofaut utakaokuwepo kwa act labda n Ruzuku tu.
 
Tuone kampeni zikianza hawa jamaa wata base wapi maana hawawez zunguka inji yote ,na tutawaombea mabaya ili kiongoz wao aumwe
 
Siasa inahitaji uwekezaji mkubwa ili kujijengea uhalali kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla wake. ACT haijawekeza, ndio kwanza kimeanzishwa. Kuna hatua nyingi muhimu italazimika kuzipitia kabla hakijaimarika na kuwa chama kamili cha siasa. Ndio maana hata walio kwenye UKAWA wanasita kuwakaribisha kwa sababu hakijajipambanua kama chama halisi cha siasa chenye dhamira na utayari wa kufanya mapambano ya kisiasa.
 
ACT wazalendo wamesoma alama za nyakati ndo means wameomba kujiunga UKAWA kwa sababu;

*Hawana mbunge hata mmoja.

*Hawana hata diwani.

*wameonekana kutokuwa kivutio kwa wananchi.

*ACT Ina viongozi mmoja tu bila maamuzi yake hakuna kitu kitafanyika.

*Kiongozi mwenye mvuto ni mmoja tu na ana mvuto kwa wachache,wengine hawana mvuto.

*chama kimefanya mikutano yake na hakikuwa na mvuto.

Kwahiyo hiyo kwa vyovyote vile washasoma alama za nyakati na kuona kwa Sera ya ukawa kuweka mgombea wa nafasi za ubunge na udiwani anayekubalika kwa eneo hilo hawatapita,na hata kwa maeneo ambayo walikuwa wanategemea ukawa wakiungana ndo mwisho wao,so wakaamua kujiunga japo na wao wafikiriwe ili wapewe maeneo machache ambayo wataweka wagombea waungwe mkono na ukawa maana vinginevyo wasingekubalika.

Hawata fanikiwa kukubaliwa kujiunga na ukawa hata ikiwaje kwani hao ni sawa na mashetani wa siasa za upinzani hapa tanzania.
 
Back
Top Bottom