Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Mtulie mambo yapopowa
Mtaisikia UKAWA hewani,hamuwezi kupewa nafasi nyie wachawi wa siasa za upinzani.
Mtulie mambo yapopowa
Tuone kampeni zikianza hawa jamaa wata base wapi maana hawawez zunguka inji yote ,na tutawaombea mabaya ili kiongoz wao aumwe
mbuyu ulianza kama mchicha
hivyo ndivyo uonavyo wewe hakunashidaMtaisikia UKAWA hewani,hamuwezi kupewa nafasi nyie wachawi wa siasa za upinzani.
mbuyu ulianza kama mchicha
Unaota ukiwa unatembeaKampeni zao kubwa zitakuwa kigoma tu
Hewa ipiInategemea pia na hali ya hewa
Inategemea pia na hali ya hewa
umejitahidi kuwafurahisha wafuasiACT wazalendo wamesoma alama za nyakati ndo means wameomba kujiunga UKAWA kwa sababu;*Hawana mbunge hata mmoja.*Hawana hata diwani.*wameonekana kutokuwa kivutio kwa wananchi.*ACT Ina viongozi mmoja tu bila maamuzi yake hakuna kitu kitafanyika.*Kiongozi mwenye mvuto ni mmoja tu na ana mvuto kwa wachache,wengine hawana mvuto.*chama kimefanya mikutano yake na hakikuwa na mvuto.Kwahiyo hiyo kwa vyovyote vile washasoma alama za nyakati na kuona kwa Sera ya ukawa kuweka mgombea wa nafasi za ubunge na udiwani anayekubalika kwa eneo hilo hawatapita,na hata kwa maeneo ambayo walikuwa wanategemea ukawa wakiungana ndo mwisho wao,so wakaamua kujiunga japo na wao wafikiriwe ili wapewe maeneo machache ambayo wataweka wagombea waungwe mkono na ukawa maana vinginevyo wasingekubalika.
Mtulie mambo yapopowa
Unaota ukiwa unatembea
Chadema mutumie akili mda mwingine mlikua mnasema act ni kwa ajili ya kugawa upinzani sasa wameomba kujiunga na ukawa ili kutoa ile fikra ya kugawa kura za ukawa. Mbona hamna jema wasingeomba je mngesemaje acheni sisa za maji taka nyambaf.
Hewa ipi
Inategemea pia na hali ya hewa
Haya bwanaYa mwandiga
Imekula kwenu na bado mtahangaika sana mwaka huu,mkajiunge na tlp,udp ndio size zenu
good!. Unachosema ni sahihi.vyama vyote vya ukawa vilisoma alama za nyakat ndiomaana vikaungan! Unayoyasema kwa act wazalendo ni applicable kwa vyama vyote vya ukawa, upo hapo ee kungekua kunachama kinachoweza kujitegemea kisingeungana.
Nia ni kupambana na wakoloni weusi ccm, but inafika wakati inashangaza kuona wengine wanawakatalia ACT to join UKAWA. Fikiri kama CUF au Mbatia, wangekua na chuki endelevu UKAWA ingekuwapo now? Tuache UKURUNZINZA.ACT wazalendo wamesoma alama za nyakati ndo means wameomba kujiunga UKAWA kwa sababu;
*Hawana mbunge hata mmoja.
*Hawana hata diwani.
*wameonekana kutokuwa kivutio kwa wananchi.
*ACT Ina viongozi mmoja tu bila maamuzi yake hakuna kitu kitafanyika.
*Kiongozi mwenye mvuto ni mmoja tu na ana mvuto kwa wachache,wengine hawana mvuto.
*chama kimefanya mikutano yake na hakikuwa na mvuto.
Kwahiyo hiyo kwa vyovyote vile washasoma alama za nyakati na kuona kwa Sera ya ukawa kuweka mgombea wa nafasi za ubunge na udiwani anayekubalika kwa eneo hilo hawatapita,na hata kwa maeneo ambayo walikuwa wanategemea ukawa wakiungana ndo mwisho wao,so wakaamua kujiunga japo na wao wafikiriwe ili wapewe maeneo machache ambayo wataweka wagombea waungwe mkono na ukawa maana vinginevyo wasingekubalika.
mbuyu ulianza kama mchicha
ACT wazalendo wamesoma alama za nyakati ndo means wameomba kujiunga UKAWA kwa sababu;