ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

Barua ili tumwa kwenye vyama vinavyo unda UKAWA ya CHADEMA ilirudi Jana ina maana kuwa ndiyo Ile iliyosemwa kuwa Mbowe asema kuwa Zitto hatakiwi UKAWA.

Ujumbe unaojaribu kuletwa hapa ni kwamba vyama vingine viko tayari kumupokea Zitto UKAWA, na chama chake cha ACT wazalendo isipokuwa kikwazo ni CHADEMA.

Pia habari hii inajaribu kuthibitisha maneno ya Zitto aliyokwisha kusema kwenye mikutano yake kuwa CHADEMA hawataki ni jiunge UKAWA.

Huu unaonekana ni mwendelezo uleule wa CCM na vibaraka wake wa kutaka kuwachonganisha UKAWA ili watengene.

UKAWA kama UKAWA wana mwenyekiti wao ambaye angeweza kutumiwa barua kwa niamba ya wenzake,kwa nini barua itumwe kwa wenyeviti wa vyama?.
 
Yeye zitto si alijiona yupo juu ya chama, sasa anataka kujiunga na watu wa hovyo ili iweje? kama alikuwa anataka ukawa angeenda NCCR au CUF, anataka kuvuruga tu. Kwa kuwa alishasema anategemea kuchukua majimbo mengi kwa nini asijiunge na TLP, UDP na vyama vingine ili aoneshe umahiri wake katika kupambana na ukawa? Wasaka tonge, usitukane mamba kabla hujavuka mto zitto.
 
Zitto mnafiki sana,amewatega viongozi wa UKAWA ,hana dhamira ya zati ya kujiunga UKAWA wala kuwakomboa watz,sema bdo hawajakustukia tu,
nachofahamu Zzk alipopita kote wanamwambia ajiunge UKAWA,na wanamwona kama msaliti,so kukwepa lawama kawazuga wananchi kwamba naye ameomba kujiunga na UKAWA akijua kabisa kwamba CDM na UKAWA watamtosa then arudi kwa wananchi akiwahadaa kwamba yeye alikuwa anapenda kujiunga UKAWA bt amezuiwa,ni.katika mwendelezo wake wa unafiki na ulaghai

Simple...wamkaribishe ...apewe kipindi cha uangalizi cha miezi 6....hio inaitwa probation period...
 
huyu jamaa kashaona ugumu wa kupata hata jimbo moja ndo mana kaona njia pekee ya kupata jimbo ni kujiunga ukawa ameona ugumu wa kujenga chama sasa ameona aibukiee ukawa......tatizo atawarudisha nyuma wenzake kazi ya kugawana majimbo ilianza mda mrefu sasa wewe uje ujiunge dakika za majeruhi labda wawape nafasi za udiwani
 
Hats udiwani asipewe,aligawa buku tanotano serikali za mitaa akapata mitaa huko kwao.Udiwani watu hawapokei buku tank,sasa kimbembe hicho.Ngoja atumike tu kuwavuruga watu lakini anaelekea kubaya.
 
Hiyo ya chadema iliyorudishwa wangeichambia na kutupa chooni.
 
Kama ni mpenzi wa kusikiliza/kusoma magazeti,basi leo hii utaikuta taarifa hii ktk gazeti ya RAIA MWEMA ambapo inaeleza kuwa Zitto ameandika barua kwenda kwa UKAWA kuomba kujua masharti ya kujiunga nao.Jamani filamu inaendelea,naona huyu jamaa anakuja plan mpya kutizima adhma yake aliyoshindwa kuitimiza akiwa CHADEMA.

My take:
UKAWA mkitaka kumpokea huyu jamaa jiandaeni kwanza kupambana naye atakapoanza kuingiza siasa za usaliti alizotuhumiwa akiwa mwanachama wa CHADEMA kabla ya kumpokea.Tunachotaka ni maendeleo.
 
Alisema UKAWA ni wasaka tonge,leo imekuaje? Mwenyekiti wa ACT alisema mwanachama yoyote atakayeishabikia UKAWA atafukuzwa uanachama,leo imekuaje?
Huyu Supreme Leader kaona mambo sio mazuri ndio maana anatapatapa,uwezekano wa CCM kuanguka ni mkubwa. CCM imeamua kuja plan B kuvuruga UKAWA kupitia Ay..ato..la.
Huyu asiruhusiwe hata kutia guu lake,mroho wa madaraka mkubwa,hana jingine zaidi ya kuvuruga umoja huo.
 
Huyu sio wa kuamini tena! Alianzisha chama akiwa ndani ya chama. Kwa nini tumwamini? Asiruhusiwe hata kidogo. Aliwaita wasaka tonge leo wamegeuka kuwa lulu? Hana jipya mroho wa madaraka huyo.
 
Kama ni mpenzi wa kusikiliza/kusoma magazeti,basi leo hii utaikuta taarifa hii ktk gazeti ya RAIA MWEMA ambapo inaeleza kuwa Zitto ameandika barua kwenda kwa UKAWA kuomba kujua masharti ya kujiunga nao.Jamani filamu inaendelea,naona huyu jamaa anakuja plan mpya kutizima adhma yake aliyoshindwa kuitimiza akiwa CHADEMA.

My take:
UKAWA mkitaka kumpokea huyu jamaa jiandaeni kwanza kupambana naye atakapoanza kuingiza siasa za usaliti alizotuhumiwa akiwa mwanachama wa CHADEMA kabla ya kumpokea.Tunachotaka ni maendeleo.

NIMELIPENDA HITIMISHO LAKO.... My take. BIG UP The GT. NAAMINI UKAWA WAKO SMART NA WANAMJUA ZITTO BEFORE ATA HAJAMALIZA KULIANDIKA ILO OMBI LAKE.
PIA ANASAHAU MWENYEKITI WAKE ALIWAPIGA MARUFUKU WANA ACT KUUNGA MKONO UKAWA PIA ZITTO UYU ALISHAWAI KUDAI UKAWA NI WASAKA TONGE. KAMA HAO SIJUI???
 
Si alishawahi kuwaita wasakatonge jamani,mi nazani kuna jambo analitafuta sio bure.
 
Kama ni mpenzi wa kusikiliza/kusoma magazeti,basi leo hii utaikuta taarifa hii ktk gazeti ya RAIA MWEMA ambapo inaeleza kuwa Zitto ameandika barua kwenda kwa UKAWA kuomba kujua masharti ya kujiunga nao.Jamani filamu inaendelea,naona huyu jamaa anakuja plan mpya kutizima adhma yake aliyoshindwa kuitimiza akiwa CHADEMA.

My take:
UKAWA mkitaka kumpokea huyu jamaa jiandaeni kwanza kupambana naye atakapoanza kuingiza siasa za usaliti alizotuhumiwa akiwa mwanachama wa CHADEMA kabla ya kumpokea.Tunachotaka ni maendeleo.

Wakuu naomba mchukulie hii kama tetesi ama habari isiyorasmi,bt kutoka kwenye chanzo changu cha ndani ya mfumo na kwa mfalme --------- ACT.

Ni kwamba ombi la kiongozi mkuu wa ACT wazalendo kutaka chama chake kikaribishwe na hatimaye kuwa sehemu ya UKAWA ni mtego kwa viongozi wa vyama vinavyounda UKAWA,

Ipo hivi baada ya mfumo kuona hakuna namna rahisi ya kuiokoa CCM isianguke lile anguko kuu mbele ya UKAWA imara,jamaa wa magomeni wakaibuka na mpango mkakati wa kuuvuruga UKAWA kupitia kwa kijana wao ---------,wakampa ramani,atangaze chama chake kutaka kujiunga UKAWA,wakiwa wanajua chama chake alichokisaliti CDM hakitakubali wala kumkubali jamaa awe sehemu ya UKAWA,na hapo ndipo mtego ulipowekwa na hao jamaa wa serikali ya CCM,

Baada ya CDM kukataa ACT isiwe sehemu ya UKAWA,wapo waandishi na watu wa kushinda mitandaoni kupotosha na kufanya propaganda ili kuichafua CDM na viongozi wake wakuu kwamba hawataki kuungana ili kuiondoa CCM madarakani,na katika hili mnaweza kuliona limeshaanza kwenyz mitandao na kwenye baadhi ya magazeti.

Mpango utakaofuata ni kuwafata viongozi wa vyama wenza wa UKAWA yaani wale wa NCCR na CUF kuwashawishi kwamba wanaburuzwa na CDM kwenye UKAWA,na kwamba kuifanya CDM ionekane ndo imevaa koti la UKAWA ,na hapa nimedokezwa kuna viongozi wa "kati"ndani ya vyama vya NCCR na CUF hasa wale walionekana tokea awali kupinga UKAWA ama kuipinga CDM isitie mgombea urais waziwazi,nafikiri mnamjua,wawachochee viongozi wao wa juu waikaribishe ACT UKAWA na hili watalifanya bila kujua,watapewa sapoti na (mfumo)then kuna kiongozi mkubwa wa vyama hivyo viwili watamtishia kuanika baadhi ya siri zake,kama hatokubali ACT ijiunge UKAWA kama mbadala wa CDM,atakubali na atawaaminisha wenaake kwamba ni faida kuwa na Zzt ndani ya UKAWA kuliko CDM,hapa CDM itaombwa wafanye tathimini upya wa ugawaji wa majimbo na kuachiana ili aje na pendekezo jipya then CDM wagome na waamue liwalo na liwe ,then atalazimisha CDM iikubali ACT na mwisho CDM itakataa (wanategemea) na hapo watasema wao wataendelea kushirikiana na ACT,hapo ndipo itakuwa mwisho wa UKAWA ya sasa na kuundwa nyingine ikiwemo ACT,na hapo CCM itakuwa na uhakika wa kushinda udiwani,ubunge na urais kwa kiasi kikubwa.

Jiulize leo kiongozi mkuu wa ACT anapata wapi ujasiri wa kuomba ajiunge UKAWA ,wakati aliwabeza kwa kuwaita ni mujngano wa wasaka tonge?je usaka tonge umebadilika lini?unaona magazeti yanayokomaa na issue ya kuionesha jamii kwamba ACT inataka kuungana na UKAWA ili kuitoa madarakani CCM bt CDM haitaki,hapa lengo kuu ni kuchafua taswira ya CDM na viongozi wake kwa wananchi.

Mpango huu nimedokezwa unaratibiwa kwa ufundi sana na idara,na kuna mikono ya vigogo wa magamba nyuma,majina kapuni,wazalendo wanaoipenda nchi na kupenda mabadiriko wanaendelea kutafta data zaidi,nitazidi kuziweka hapa na kuanika nia ovu ya hili tawi la CCM la ACT na viongozi wake.

Niwaombe viongizi wa UKAWA kuwa imara zaidi,kutobadirisha misimamo na wawe makini na baadhi ya viongozi wa chini wa vyama vyao,kamwe giza haliwezi kushinda Nuru,UKAWA tumaini letu,Mungu aubariki umoja huu udumu,na mwisho na waambia ACT ,badala ya kutaka kubomoa UKAWA kwa gia hiyo,bora wajiunge CCM watengeneze muungano wao na tuwajue,hawataweza,Nasema ACT haina dhamira ya kweli kujiunga UKAWA bali wanatumiwa kuvuruga UKAWA,wanatafta huruma ya wananchi ionekane wanabaguliwa bt ukweli wanatumiwa na mfumo umeoamua kuisaidia CCM,viongozi wangu wa UKAWA msimjibu Zzk na ACT yake,kwani jibu moja litawapa kick.
Copied n Paste
 
octoba sio mwisho wa uchaguzi hata mwakani act-ccm wanaweza leta maombi kujiunga na ukawa, msiwe na haraka
 
Chama cha ACT-Wazalendo kimeandika barua kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) kikiomba kujua masharti ya kujiunga ili nacho kiwe sehemu yake,imefahamika.

Katibu mkuu was ACT,Maingu Samson Mwigamba,alilithibitishia gazeti hili kwamba chama chake kilituma barua ya kuomba kujiunga UKAWA Jumamosi iliyopita,April 25,2015,kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA lakini ile iliyokwenda CHADEMA ilirudi.

"Ni kweli kwamba tuliandika barua kwenda kwa vyama vinne vinavyounda UKAWA. Malengo ya ile barua yalikuwa mawili; moja ni kueleza nia ya kutaka kujiunga na umoja huo na pili ni kuuliza ni utaratibu zipi zinatakiwa kufuatwa kabla ya chama kuruhusiwa kujiunga na umoja huo..."

Chanzo: RAIA MWEMA 29/04/2015

ACT - Wazalendo, Mjiunge tu na CCM inayowafadhili...WASALITI wanaweza tu kuungana na WASALITI WENZAO, ambao ni 'wasaliti wa wananchi', CCM.
Kwa taarifa, ACT - Wazalendo ni hatari, ni kirusi, inafaa tu kuungana na virusi wenzao wanaoiua nchi ambao ni CCM. ACT kukubalika kujiunga na UKAWA, mtegemee maafa ya Kisiasa kwa kuua mageuzi nchini! CCM watacheka kutwa kucha!....no room for culprits!
 
Ombi la Zitto -ACT kutaka kujiunga UKAWA ni mtego wa watawala kutaka kuuvunja UKAWA

Wakuu naomba mchukulie habari hii kama isiyo rasmi,bt kutoka kwenye chanzo changu cha ndani ya mfumo na kwa mfalme --------- ACT.

Ni kwamba ombi la kiongozi mkuu wa ACT wazalendo kutaka chama chake kikaribishwe na hatimaye kuwa sehemu ya UKAWA ni mtego kwa viongozi wa vyama vinavyounda UKAWA,

Ipo hivi baada ya mfumo kuona hakuna namna rahisi ya kuiokoa CCM isianguke lile anguko kuu mbele ya UKAWA imara,jamaa wa magomeni wakaibuka na mpango mkakati wa kuuvuruga UKAWA kupitia kwa kijana wao ---------,wakampa ramani,atangaze chama chake kutaka kujiunga UKAWA,wakiwa wanajua chama chake alichokisaliti CDM hakitakubali wala kumkubali jamaa awe sehemu ya UKAWA,na hapo ndipo mtego ulipowekwa na hao jamaa wa serikali ya CCM,

Baada ya CDM kukataa ACT isiwe sehemu ya UKAWA,wapo waandishi na watu wa kushinda mitandaoni kupotosha na kufanya propaganda ili kuichafua CDM na viongozi wake wakuu kwamba hawataki kuungana ili kuiondoa CCM madarakani,na katika hili mnaweza kuliona limeshaanza kwenyz mitandao na kwenye baadhi ya magazeti.

Mpango utakaofuata ni kuwafata viongozi wa vyama wenza wa UKAWA yaani wale wa NCCR na CUF kuwashawishi kwamba wanaburuzwa na CDM kwenye UKAWA,na kwamba kuifanya CDM ionekane ndo imevaa koti la UKAWA ,na hapa nimedokezwa kuna viongozi wa "kati"ndani ya vyama vya NCCR na CUF hasa wale walionekana tokea awali kupinga UKAWA ama kuipinga CDM isitie mgombea urais waziwazi,nafikiri mnamjua,wawachochee viongozi wao wa juu waikaribishe ACT UKAWA na hili watalifanya bila kujua,watapewa sapoti na (mfumo)then kuna kiongozi mkubwa wa vyama hivyo viwili watamtishia kuanika baadhi ya siri zake,kama hatokubali ACT ijiunge UKAWA kama mbadala wa CDM,atakubali na atawaaminisha wenaake kwamba ni faida kuwa na Zzt ndani ya UKAWA kuliko CDM,hapa CDM itaombwa wafanye tathimini upya wa ugawaji wa majimbo na kuachiana ili aje na pendekezo jipya then CDM wagome na waamue liwalo na liwe ,then atalazimisha CDM iikubali ACT na mwisho CDM itakataa (wanategemea) na hapo watasema wao wataendelea kushirikiana na ACT,hapo ndipo itakuwa mwisho wa UKAWA ya sasa na kuundwa nyingine ikiwemo ACT,na hapo CCM itakuwa na uhakika wa kushinda udiwani,ubunge na urais kwa kiasi kikubwa.

Jiulize leo kiongozi mkuu wa ACT anapata wapi ujasiri wa kuomba ajiunge UKAWA ,wakati aliwabeza kwa kuwaita ni mujngano wa wasaka tonge?je usaka tonge umebadilika lini?unaona magazeti yanayokomaa na issue ya kuionesha jamii kwamba ACT inataka kuungana na UKAWA ili kuitoa madarakani CCM bt CDM haitaki,hapa lengo kuu ni kuchafua taswira ya CDM na viongozi wake kwa wananchi.

Mpango huu nimedokezwa unaratibiwa kwa ufundi sana na idara,na kuna mikono ya vigogo wa magamba nyuma,majina kapuni,wazalendo wanaoipenda nchi na kupenda mabadiriko wanaendelea kutafta data zaidi,nitazidi kuziweka hapa na kuanika nia ovu ya hili tawi la CCM la ACT na viongozi wake.

Niwaombe viongizi wa UKAWA kuwa imara zaidi,kutobadirisha misimamo na wawe makini na baadhi ya viongozi wa chini wa vyama vyao,kamwe giza haliwezi kushinda Nuru,UKAWA tumaini letu,Mungu aubariki umoja huu udumu,na mwisho na waambia ACT ,badala ya kutaka kubomoa UKAWA kwa gia hiyo,bora wajiunge CCM watengeneze muungano wao na tuwajue,hawataweza,Nasema ACT haina dhamira ya kweli kujiunga UKAWA bali wanatumiwa kuvuruga UKAWA,wanatafta huruma ya wananchi ionekane wanabaguliwa bt ukweli wanatumiwa na mfumo umeoamua kuisaidia CCM,viongozi wangu wa UKAWA msimjibu Zzk na ACT yake,kwani jibu moja litawapa kick.
 
Mbona cdm ndio mnao papalika ninyi peke yenu?kwani ukawa mmeunda ninyi tu?hapo mnaonesha jinsi gani mnavyo penda madaraka,huu ni umoja wa vyama chama chochote kina haki ya kujiunga na huu muungano,sisi NLD tupo tayari kukipokea chama chama cha ACT katika muungano wetu.

Kama ninyi hamtaki jitoeni kwenye muungano huo.
Chadema haina hati miliki ya ukawa
Chadema msijigeuze wasemaji wakuu wa ukawa.
 
Back
Top Bottom