ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

Ahsante sana Mkuu, heshima ikurudie nawe. Huyu msaliti aliyedai yuko mbioni kuimaliza CHADEMA ifikapo June, 2015 na pia kuwaita UKAWA #wasakatonge anashangaza sana kutaka kuungana na UKAWA wakati huo huo yuko mbioni kuisambaratisha CHADEMA sijui anataka kufuata nini kwa wasaka tonge. Unafiki na usaliti wake unazidi kujidhihirisha na kumuumbua katika umma wa Watanzania.



Heshima yako umeandika ukweli kabisa Chadema hakuna nafasi za wasaliti kama ACT labda akaungane na wasaliti wenzake ccm.
 
Zitto mchokozi sana wewe mtoto...
Anywayz..tatizo Mboowe anajua kuwa ACT ikiingia basi lazima Zitto asimamwishwe kuwa mgombea urais

Unajua umri wa mgombea urais kikatiba? Natamani kama nikutusi ila busara zinanikataza. Lazima uwe na 40 and above, Zitto hajafikisha.
 
huyu zitto anatumika vibaya tena zaid ya toilet pepa. huku huwezi ingia tafuta umbea wa kupelek ccm ukiwa huko huko nje sht!!
 
Ahsante sana Mkuu, heshima ikurudie nawe. Huyu msaliti aliyedai yuko mbioni kuimaliza CHADEMA ifikapo June, 2015 na pia kuwaita UKAWA #wasakatonge anashangaza sana kutaka kuungana na UKAWA wakati huo huo yuko mbioni kuisambaratisha CHADEMA sijui anataka kufuata nini kwa wasaka tonge. Unafiki na usaliti wake unazidi kujidhihirisha na kumuumbua katika umma wa Watanzania.

sijawahi mtu mnafiki mwenye ubongo wa kusahau kma huyu Zitto alisema Ukawa ni wasaka tonge leo wameshasahau wanaomba kujiunga na Ukawa hawa ni wanafiki wakubwa wametumwa kuja kuivuruga Ukawa nampongeza sana Mbowe kwa msimamo wake hatuna nafasi ya kupokea wasaliti ndani Ukawa .
 
Last edited by a moderator:
Chama cha ACT-Wazalendo kimeandika barua kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) kikiomba kujua masharti ya kujiunga ili nacho kiwe sehemu yake,imefahamika.

Katibu mkuu was ACT,Maingu Samson Mwigamba,alilithibitishia gazeti hili kwamba chama chake kilituma barua ya kuomba kujiunga UKAWA Jumamosi iliyopita,April 25,2015,kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA lakini ile iliyokwenda CHADEMA ilirudi.

"Ni kweli kwamba tuliandika barua kwenda kwa vyama vinne vinavyounda UKAWA. Malengo ya ile barua yalikuwa mawili; moja ni kueleza nia ya kutaka kujiunga na umoja huo na pili ni kuuliza ni utaratibu zipi zinatakiwa kufuatwa kabla ya chama kuruhusiwa kujiunga na umoja huo..."

Chanzo: RAIA MWEMA 29/04/2015
Kachawi kanatafuta access ya ukawa tactics

Mtego huo
 
"Taifa limevimba. Wakulima Mahindi yanawaozea na Mpunga bei imeporomoka sababu ya mchele kutoka nje na usiolipiwa Kodi. Wahisani wamezuia misaada ( sababu ya kashfa ya #TegetaEscrow ) Kiasi Serikali haiwezi hata kujiendesha. Unapoona wanasiasa wanagawana vyeo katika nyakati kama hizi ujue Taifa halina Viongozi bali wasaka utawala. Wasaka utawala badala ya uongozi ni #WasakaTonge tu"

attachment.php

Msalimie zitto mwambie akumbuke 'ukawa wasaka tonge'
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ujinga ukimlemea mtu hugeuka kuwa Upumbavu,Na ukikubali kutumiwa kaa fagio/dekio ukichakaa mwisho wake ni kutupwa kwenye jalala na kuchomwa moto.

MTU HUYU ZITO BADO HAJUI ATATOKAKO,ALIKO WALA AENDAKO,Siasa za bongo zimemtatanisha mpaka analewa lewa na kuwayawaya na ZIGO LA USALITI LITAMWANGUSHA NAYE HATAINUKA TENA.
 
Jamaa anazidi kuonyesha uhalisia wake wa kukurupuka na kutoa kauli zisizo na mashiko kisha kuzigeuka na kutaka kula matapishi yake. Ndiyo matatizo ya kukurupuka na kuropoka bila kutafakari kwa kina uzito wa kauli zake.

Msalimie zitto mwambie akumbuke 'ukawa wasaka tonge'
 
Wewe kiazi kweli. Kwani Raia Mwema hutoka jumangapi? Kwa hiyo kama gazeti ni la Jumatano linaenda mitamboni lini na habari ni ya lini?

Msimlaumu jamani inawezekana yeye huko anakoishi hupata gazeti baada ya wiki, hajui kama waliopo dar, gazeti la kesho, watu wanalisoma usiku wa leo!!!
 
Back
Top Bottom