- Thread starter
- #21
Uongo huo hakuna kitu kama hicho.
Usifikiri wrote no bk 7, soma kesho RAIA Mwema ukurasa wa 4,wataarifu na wrnzio hapo juu
Uongo huo hakuna kitu kama hicho.
1) Mwenyekiti wa ACT akiwa iringa aliwaambia wananchi na wanachama wake NI MARUFUKU KUSHABIKIA UKAWA.Chama cha ACT-Wazalendo kimeandika barua kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) kikiomba kujua masharti ya kujiunga ili nacho kiwe sehemu yake,imefahamika.
Katibu mkuu was ACT,Maingu Samson Mwigamba,alilithibitishia gazeti hili kwamba chama chake kilituma barua ya kuomba kujiunga UKAWA Jumamosi iliyopita,April 25,2015,kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA lakini ile iliyokwenda CHADEMA ilirudi.
"Ni kweli kwamba tuliandika barua kwenda kwa vyama vinne vinavyounda UKAWA. Malengo ya ile barua yalikuwa mawili; moja ni kueleza nia ya kutaka kujiunga na umoja huo na pili ni kuuliza ni utaratibu zipi zinatakiwa kufuatwa kabla ya chama kuruhusiwa kujiunga na umoja huo..."
Chanzo: RAIA MWEMA 29/04/2015
Zitto mchokozi sana wewe mtoto...
Anywayz..tatizo Mboowe anajua kuwa ACT ikiingia basi lazima Zitto asimamwishwe kuwa mgombea urais
Mnakurupuka tu ku comment mmeangalia tarehe ya source of information??
Zitto mchokozi sana wewe mtoto...
Anywayz..tatizo Mboowe anajua kuwa ACT ikiingia basi lazima Zitto asimamwishwe kuwa mgombea urais
Unajua tuwe wakweli.Ilitumwa na Kurudishwa na nani?
Heshima yako umeandika ukweli kabisa Chadema hakuna nafasi za wasaliti kama ACT labda akaungane na wasaliti wenzake ccm.Usaliti unaanza kumtafuna taratibu sasa anataka kuungana na #WasakaTonge. UKAWA hatutafanya makosa ya kumkaribisha msaliti na wasaliti wenzie ambao nia na madhumuni yao makubwa ni kuisambaratisha CHADEMA. Wameona kuisambaratisha CHADEMA ni ndoto za alinacha sasa wanataka kuingia UKAWA ila wakavuruge mshikamano uliokuwepo. UKAWA hatutaki wasaliti wala hatutaki ayatullah.
ACT wazalendo hicho chama hakipo!!