Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.
Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.
Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.
Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.