Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Pesa zote zimeishia kugawa kwa kina lipumba.dr.mihogo na hiv visanii
Wacha walaanike

Samahani hivi kweli wewe utamchagua mgombea kwa sababu ana mabango mengi mitaani? Hizi siasa zenu kwanza mnafanya makosa kabisa iwe CCM, UKAWA na hata ACT kwa sababu hakuna sababu ya mgombea Urais kuwekwa bango lake kila mtaa, yeye atajieleza zaidi ktk mikutano, vyombo vya habari iwe magazeti, radio ama TV akiuza sera za chama chake.
Mijimboni yanatakiwa mabango ya wagombea Udiwani na wabunge tu ambao kazi yao kubwa itakuwa kuwatembelea wananchi majumbani mwao na kuzungumza nao iwe kwa kupitia wanachama walojitolea ama yeye mwenyewe binafsi kutambua mahitaji na hali halisi ya wananchi katika jimbo lake..
Baadaye ya wapi?haya mambo ya baadae ndo maana tunazidi kuwa masikini.Kuna mambo ya baadae na kuna mambo ya leo ukisubiri baadae utakuta manyoya.Jitahidi kila kitu iwe leo baadae iwe dharura.Kuna faida kubwa ya kuweka mgombea urasi kwa ajili ya hapo baadaye
nilipita juzi pale msamv stend nikashangaaa kuona hata bango la mgombea wa pale afande sele picha yake imefichwa ila bango lote limejaa picha ya zitto.....nikashangaa sana...jamaa kawashika akili
Mabango yenye picha ya Zitto ni mengi kuliko mabango ya wagombea ubunge pamoja na mgombea urais
Wakakope tu
Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.
Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.
Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.
Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.
Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.
Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.
Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.
Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.
Samahani hivi kweli wewe utamchagua mgombea kwa sababu ana mabango mengi mitaani? Hizi siasa zenu kwanza mnafanya makosa kabisa iwe CCM, UKAWA na hata ACT kwa sababu hakuna sababu ya mgombea Urais kuwekwa bango lake kila mtaa, yeye atajieleza zaidi ktk mikutano, vyombo vya habari iwe magazeti, radio ama TV akiuza sera za chama chake.
Mijimboni yanatakiwa mabango ya wagombea Udiwani na wabunge tu ambao kazi yao kubwa itakuwa kuwatembelea wananchi majumbani mwao na kuzungumza nao iwe kwa kupitia wanachama walojitolea ama yeye mwenyewe binafsi kutambua mahitaji na hali halisi ya wananchi katika jimbo lake..
Sheria za kiha zinaendesha chama.

Wewe ni mbuzi wakizungu kweli chama kina wana chama 1,200,000 wanao lipa ada(hai) sasa kitakosaje kula 100,000?
Wacha walaanike
tatizo aliwaisha kiherehere uyo zitto sa akaondolewa mapema angevumilia kidogo ccm wangemuongezea mzigo
Huu mamoderators wakiuona wataufuta mapema tu maana ZZK anasemwa vibaya hapa
Sikatai wazo lako nakubaliana nawewe nilichokua najiuliza kwanini watumie garama kubwa kubandika kubandika bango la zito mikoani wakati yeye hagombei uraisi? Mathalan Mbowe anagombea ubunge jimbo la hai then mabango yake yanabandikwa mwanza au sumbawanga kuna faida gani hapo?