ACT - Wazalendo Wamnyooshea kidole Zitto!

ACT - Wazalendo Wamnyooshea kidole Zitto!

Tangu zitto awaamulishe wagombea Udiwani na Ubunge wote kuweka picha yake pembeni ya bango badala ya picha ya mgombea uraiasi wao ndo hapo nilimuona ni mnafiki mno

..zitto ndio alama ya chama; maana yake hakuna ACT bila zitto,au ikifa ACT ujue..........!
 
Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.

Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.

Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.

Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.

Asante sana kiongozi kwa kutujulisha ubabe wa kiongozi mkuu
 
ACT nao watatembeza bakuli kwa kuchangiwa kwa njia ya mpesa, tigopesa, airtelmoney. Pia watafanya harambee kama walivyofanya wengine na mwisho watapata ufadhili kutoka kwa wafanyabiashara 10 ambao majina yao hayatatajwa!

Kwa mwandiga sawa hata mimi nipo hapa kakonko nitawachangia migebuka kama 10 hivi maana hicho chama ni cha kwetu kigoomaa
 
Mkuu unajichosha bure kushangaa. Picha ya Aya.toll.ah Ali Khamenei ndio icon rasmi ya taifa la Uajemi. Picha ya rais wa nchi wala haijulikani. ACT wanechukua mfumo huu wa uongozi.

Umwana waachu omwami zzk
 
Ww unampenda zitto..kwanz hap watu wansjadili hoja na si zitto..bahati mbaya zitto yupo ndani ya mada..ache ale vyake.ni utoto kugombea ubunge kigoma alafu unawek bango mbeya..ujinga plus

Zxk ni zaidi ya janga la kisiasa
 
zito ndo act na act ni zito kwa hiyo labda kama kama hicho kidole kajinyoshea mwenyewe!
 
Wewe ni mbuzi wakizungu kweli chama kina wana chama 1,200,000 wanao lipa ada(hai) sasa kitakosaje kula 100,000?
 
Back
Top Bottom