ACT - Wazalendo Wamnyooshea kidole Zitto!

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,316
Reaction score
23,186
Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.

Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.

Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.

Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.
 
Dhambi ya usaliti inawatafuna. Kumbe Arakati Zote na Kusimamisha Wabunge Nchi Nzima Lengo ni Ruzuku?

hahahahaaaa. Zito Kweli Ni Kiboko Kumbe Anazipigia Mahesabu Pesa za Ruzuku?

Mwisho wa Hiki Chama utakuwa Mbaya Sana. Maana ni Chama Cha Wapiga Dilitu. itakua Kila Mtu Akipata Fursa Ya Kupiga Mchongo, Ana Kwarua Pesa. Hii itakua ni Zaidi ya Kikoba.
 
Matatizo na changamoto kwa chama kidogo kama act-wazalendo ni mambo ya kutarajiya. Kwa hiyo huyo mlalamishi aache tabia za wana wa israel za kumlalamikia na kumlaumu musa kila walipo pata tatizo dogo kama kukosa maji na chakula. Awe na imani. Kusimamisha mgombe kuna nafasi yake katika kukuza chama. Zitto aliona mbali katika hilo. Matokeo yake yataonekana badaye.
 
Wangetumia fursa vizuri kwa kuweka mabango ya mgombea urais mikoa mbalimbali badala ya kuweka mabango yenye picha ya Mwami Zitto wakati hagombei urais. Ni very simple logic lakini ingewasaidia sana, Zitto anagombea Kigoma, mabango yenye picha yake yanafanya nini Dar na Morogoro ambako hakuna bango la Anna mgombea uraisi. Ukata wa kujitakia
 
nilipita juzi pale msamv stend nikashangaaa kuona hata bango la mgombea wa pale afande sele picha yake imefichwa ila bango lote limejaa picha ya zitto.....nikashangaa sana...jamaa kawashika akili
 
Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.

Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.

Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.

Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.

wew NYUMBU kwa nin usiiangaike na EL maana nasikia jukwaani kuhutubia lazima apewe booster ndio ahutubie
 
Huu mamoderators wakiuona wataufuta mapema tu maana ZZK anasemwa vibaya hapa
 
Wangetumia fursa vizuri kwa kuweka mabango ya mgombea urais mikoa mbalimbali badala ya kuweka mabango yenye picha ya Mwami Zitto wakati hagombei urais. Ni very simple logic lakini ingewasaidia sana, Zitto anagombea Kigoma, mabango yenye picha yake yanafanya nini Dar na Morogoro ambako hakuna bango la Anna mgombea uraisi. Ukata wa kujitakia

Mabango yenye picha ya Zitto ni mengi kuliko mabango ya wagombea ubunge pamoja na mgombea urais
 
Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.

Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.

Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.

Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.

CC Kitila Mkumbo
 
Back
Top Bottom