Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,691
- 1,926
hapo sio porini
hapo sio porini
Nakumhuka maneno ya Mwalimu alituasa akisema kwamba " huwezi kiongozi wetu ukaongoza nchi kuhuni huni... wananchi hawajui kesho utasema nini, kama.unataka uhuni nenda karande rande mabarabani huko"Aisee
Aisee! Hii serikali ya CCM inaongozwa na WASHENZI na WENDAWAZIMU, Mwalimu Nyerere hakukosea kumuita kwa majina hayo Nduli Idd Amin Dadaa.
Kama ndo mtumaji atachukua vipi hatua?
HakikaAheri mbwamwita anayekuja kama mbwamwitu kuliko yulr anayekuja na ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwamwitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh kazi ipo mkuu.Mkuu, mtu mwenye hekima,busara na werevu kama wa Suleiman, kamwe hawezi kuwa chini ya mwenyekiti huyu. Ni wajasiria tumbo tu na walamba viatu ndio wanaoweza kwenda pamoja naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka unamuandama zitto tu. Boara akutie ndo utamheshimu. Pumbavu wewe. huko kwenye chama chako cha wauwaji, watekaji,watia watu kwenye mifuko ya sandarusi, wezi na majambazi hakuna wanaosema uongo? PumbavuTanzania sasa inaelekea pabaya; ni kama siasa za ama kuchafuana kisiasa au za kuumizana kimwili. Wa kuaminiwa hajulikani; Zitto ana sifa kubwa sana ya kusema uwongo wowote wa kupakazia mradi umsaidie kisiasa, serikali nayo imekuwa haifanyi kazi ipasavyo kuhusiana na mtukuio ya kiharifu yenye sura za kisiasa labda la Mbowe la kukanyangwa na wanaume watatu ndilo lililoibuliwa mapema tu. Nchi ya namna hiyo inaweza kuwa inaelekea pabaya sana.
Hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujenga uwanja wa mpira
Basi Mzee; naona unadhani wote ni wapumbavu kama wewe; hasira siyo suluhu. Control emotions zako kwani unaweza kupata ugonjwa wa moyo iwapo unalipukalipuka hivyo.kaka unamuandama zitto tu. Boara akutie ndo utamheshimu. Pumbavu wewe. huko kwenye chama chako cha wauwaji, watekaji,watia watu kwenye mifuko ya sandarusi, wezi na majambazi hakuna wanaosema uongo? Pumbavu
Hata me nashangaa😲😲, mtu kashika nafasi ya pili halafu anatekwa ili iweje Sasa kwa mfano!Nani amteke mshindi wa pili kura za maoni ACT?
🤨Kwenye System kuna waislamu wengi wa namna hiyo siku hizi.
1. Hussein Mwinyi kaoa Mkiristo
2. January Makamba kaoa Mkiristo
3. Kassim Majaliwa kaoa Mkiristo
Sijui hiyo Sifa ya Kuoa Mkiristo inawasaidia kwenye vetting na wao walistukia zamani kuwa itawabeba kisiasa? ili waonekane waislamu hawa ni waislamu "poa"?, waonekane "si hatari sana", kwa hivyo hawa "tuwaamini" tu tuwape urais, uwaziri mkuu badala ya wale "wajahidina" wengine! n. k
Hawezi kupambana sasa anafanya ThreateningInaonesha kassim anataka apite bila kupingwa yaani jambo ambalo haliwezekani