Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha .
Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa mtu yeyote popote alipo atakayesaidia kuhami na kutetea demokrasia na utu wa Mtanzania .
Kila la heri .
Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa mtu yeyote popote alipo atakayesaidia kuhami na kutetea demokrasia na utu wa Mtanzania .
Kila la heri .