Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Hiyo falsafa ya kuwapita wote kwanza ndiyo itakayowafanya mchoke kabla ya kufikia malengo yenu, it will take a century.mkuu Feedback ,kwa uelewa wako,
1. Nyakarungu ni msemaji wa taasisi gani?
2.Lengo la chama cha siasa ni nini?
3.Unadhani falsafa na itikadi za Act-Tanzania zinafanana na za vyama vyote 20 vya kabla yake ispokuwa ccm?
4. Hivi inawezekana wa 22 kuwa wa kwanza bila kuwapita 21 wote wa kabla yake?
Hebu wakati fulani tutulize emotions!
sasa ndugu yangu Bramo ,kwa kuwa mada iliyoko mbele yetu ni challenges na opportunities walizonazo Act-Tanzania, sasa sijaelewa vizuri kama hayo yote uliyozungumza hapo juu, ni challenges au ni opportunity.Ungefafanua kidogo ingependeza zaidi.
Unanikumbusha makala za Dr Kitila zilizojibiwa kwa mfululiza na Dr Mwingine ikawa end of the story. Nikusaidie tena, hayo unayoyasema yangekuwa hivyo kama wananchama wenu mnawashusha kutoka Mbinguni. lakini kama mnategmea ccm na vyama vingine kupata wanachama wenu, mtakuwa na jipya gani? Samaki gani unamkunja angali mbichi? Bado hutatushawishi kisanii namna hii.
Ahaa! ok! sawa.Kwa hiyo wewe unachotaka kutuambia ni kwamba hata CCM haina shida bali kuna watu wenye shida ndani ya CCM! sawa kabisa.Kwa kiwango kikubwa mimi nakubaliana nawe katika hii na ndio maana wakati mwingi nimekuwa nikisema kwamba tanzania tuna tatizo kubwa la watu kuliko tulivyo na tatizo la vyama vya siasa, na matatizo tunayoyaona kwenye vyama, si matatizo ya vyama bali ya watu ndani ya vyama hivyo kwa kuwa chama sio kitu "concrete" bali ni 'wazo'(kitu cha kufikirika tu kilichowekewa kanuni na sheria fulani).Sawa kabisa yaani wewe unaonekana unaelewa sana mambo.Nadhani umemsoma feedback hapo juu. ACT umedai haina kashfa na makosa km vyama vingine. Kwani chama ndio kinakuwa na kahsfa au watu wanaokiongoza chama?
Kuna kitu kinaitwa "Falsafa ya kuwapita wote kwanza!" kama ipo ni falsafa ya chama gani? yaani concept simple kabisa tu hujaelewa! au umeelewa na unafanya makusudi tu ili kusababisha utata usio wa lazima? Wakati fulani ni bora kujibu maswali unapoamua kujitosa katika mjadala badala ya kukimbilia conclusion zisizoeleweka. Nakuuliza tena:Hivi kama mtu kajiunga na mbio, wakati anajiunga na mbio, wenzake 20 walishaondoka kabla yake na yeye anataka akimbie hadi ahakikishe anakuwa mshindi wa kwanza (yaani anakuwa mbele kuliko wote), kwa akili ya kawaida tu, tunategemea kwamba anatakiwa afanyeje? na atakapokimbia akafika mbele (mwanzo) tutasema kafanya je? kwa nini tunajichanganya wenyewe na hali tunajua na tuna uhakika kabisa kwamba tunajichanganya? hivi unajua unavyoitumia akili yako na unavyojizoeza kuwa ndivyo unavyokuwa hivyo hivyo!Hiyo falsafa ya kuwapita wote kwanza ndiyo itakayowafanya mchoke kabla ya kufikia malengo yenu, it will take a century.
sasa ndugu yangu Bramo ,kwa kuwa mada iliyoko mbele yetu ni challenges na opportunities walizonazo Act-Tanzania, sasa sijaelewa vizuri kama hayo yote uliyozungumza hapo juu, ni challenges au ni opportunity.Ungefafanua kidogo ingependeza zaidi.
Na ndio maana wale walioamua kujilazimisha kufikiri nje ya duara; wanasema lazima lipo tatizo na dawa ya tatizo ni kulitatua! sio kulalamika tu.Mfano; katika ripoti ya CAG, Anasema kuna vyama vinne ambavyo havina kabisa account za benk.Sasa ndio tuviunge mkono kwa tabia hiyo, etio tu kwa kuwa ni vyama vya upinzani? CAG anasema ripoti zilizowasilishwa kwake, hakuna iliyoandikwa kwa kufuata kanuni za kitaalam za kihasibu, sasa ndio tuunge mkono tu kwa kuwa eti chama husika hakiko madarakani? haya yote yanastahili kupingwa pamoja na kupinga kutokaguliwa kwa hesabu za CCM.Hilo ndilo linalotakiwa.Vyama vyote vinavyofanya Vizuri kwa sasa ni Vilianzishwa Mwaka 1993/94 Baada ya kuanza kwa Vyama Vingine, Hakuna na haijawahi kutyokea chama kingine chochote kipya kilichoanzishwa baada ya hapo Kikafanya Vizuri.
.
Mkuu umeeleweka vizuri tu! asante kwa mchango wako ambao kimsingi utawaelimisha wengi.ACT opportunity pekee mliyo nayo ni kula pesa za "CCM za malipo ya usaliti" kabla hawaja stop hiyo misaada maana kazi ya usaliti imewashinda.
Nashangaa kuona hata wewe unashiriki kupotosha ukweli kuhusu katiba lakini nyote mnaopindisha kuna siku ukweli utawaumbua.
Unakumbuka nani aliyesimamia vuguvugu la kuwepo kwa mchakato wa katiba? unakumbuka matamshi ya viongozi waandamizi wa CCM akiwemo mwanasheria mkuu wa serikali Werema? Nani wanaopinga maoni ya wananchi waliyoyatoa kwenye tume ya Warioba, umesikia maneno ya katibu mkuu wa CCM kuwa katiba haina manufaa yeyote so kwa akili yako huru unaona nani anataka tukose katiba mpya.
Kuna kitu kinaitwa "Falsafa ya kuwapita wote kwanza!" kama ipo ni falsafa ya chama gani? yaani concept simple kabisa tu hujaelewa! au umeelewa na unafanya makusudi tu ili kusababisha utata usio wa lazima? Wakati fulani ni bora kujibu maswali unapoamua kujitosa katika mjadala badala ya kukimbilia conclusion zisizoeleweka. Nakuuliza tena:Hivi kama mtu kajiunga na mbio, wakati anajiunga na mbio, wenzake 20 walishaondoka kabla yake na yeye anataka akimbie hadi ahakikishe anakuwa mshindi wa kwanza (yaani anakuwa mbele kuliko wote), kwa akili ya kawaida tu, tunategemea kwamba anatakiwa afanyeje? na atakapokimbia akafika mbele (mwanzo) tutasema kafanya je? kwa nini tunajichanganya wenyewe na hali tunajua na tuna uhakika kabisa kwamba tunajichanganya? hivi unajua unavyoitumia akili yako na unavyojizoeza kuwa ndivyo unavyokuwa hivyo hivyo!
Mkuu Feedback Katiba mpya ya nchi hii haijaanza kudaiwa mwaka 2010 kama unavyotaka watu waamini. Tumeanza kudai Katiba kuanzia miaka ya 1990. Madai ni kama nilivyoyaeleza hapo juu. Tulifanikiwa kupata moja ambalo ni kukubaliwa mfumo wa vyama vingi. Pamoja na kukubalika kwa mfumo wa vyama vingi lakini Katiba hiyo ilikuwa ni ya Chama kimoja, kimantiki. Kuna baadhi ya Ibara zilibaki kama vile za Chama kimoja, sheria mbalimbali pia hazikurekebishwa.
Sasa imekuja fursa hii hatutaki kuitumia. Nimesema kama CCM wanalilia Serikali mbili tuwaachie ili tupate Tume Huru ya Uchaguzi, Mgombea Huru, nk. Twende kwenye uchaguzi ambao utakuwa huru na haki.
Sasa kama tunakimbia na kuiachia CCM basi tunaziacha fursa nyiiingi kwa kupambania ya mfumo.
Na ndio maana wale walioamua kujilazimisha kufikiri nje ya duara; wanasema lazima lipo tatizo na dawa ya tatizo ni kulitatua! sio kulalamika tu.Mfano; katika ripoti ya CAG, Anasema kuna vyama vinne ambavyo havina kabisa account za benk.Sasa ndio tuviunge mkono kwa tabia hiyo, etio tu kwa kuwa ni vyama vya upinzani? CAG anasema ripoti zilizowasilishwa kwake, hakuna iliyoandikwa kwa kufuata kanuni za kitaalam za kihasibu, sasa ndio tuunge mkono tu kwa kuwa eti chama husika hakiko madarakani? haya yote yanastahili kupingwa pamoja na kupinga kutokaguliwa kwa hesabu za CCM.Hilo ndilo linalotakiwa.
Sasa ushangae; hapa mjadala ni changamoto na fursa zinazokikabili chama kipya cha ACT-Tanzania lakini wachangiaji wengi wanachofanya ni kulalamikana kulaumu tu badala ya kuchangia mada iliyoko mbele yao! kwa staili hii ndio maana huwa hatutoboi!