falsafa, itikadi na sera zake.
Hakuna hata viongozi ngazi ya Mkoa wanafikiria kushinda Ikulu.....
mpk, ACT wasitegemei kupata mbunge hata mmoja 2015 kama awaamini maneno yangu wayaweke haya maneno ya gogo la shamba alafu waniulize baada ya uchaguzi,chama ambaco hakina mwenyekiti
Si wapate hata wa kitaifa maana nasikia mwenyekiti yupo kwa mkopo toka ADC, hii ni kwa mjibu wa Yerico!
sawa T.B JOSHUA
abakorakamo utakuja kunieleza tukiwa haisawa T.B JOSHUA
abakorakamo utakuja kunieleza tukiwa hai
Nilitaka kushangaa msemaji wao aliyepo kwa mkopo toka Ccm usijitokeze!
mpaka sasa hivi tuna uhakika na majimbo 30 ya ubunge mwakani[/QUOTE
Kuna waziri wa habari wa Saddam Husein wakati huo, ni ndugu yako?
ACT inajiandaa kuchukua nchi mwakani
mpaka sasa hivi tuna uhakika na majimbo 30 ya ubunge mwakani
betlehem,Kuna kitu kinaitwa "Falsafa ya kuwapita wote kwanza!" kama ipo ni falsafa ya chama gani? yaani concept simple kabisa tu hujaelewa! au umeelewa na unafanya makusudi tu ili kusababisha utata usio wa lazima? Wakati fulani ni bora kujibu maswali unapoamua kujitosa katika mjadala badala ya kukimbilia conclusion zisizoeleweka. Nakuuliza tena:Hivi kama mtu kajiunga na mbio, wakati anajiunga na mbio, wenzake 20 walishaondoka kabla yake na yeye anataka akimbie hadi ahakikishe anakuwa mshindi wa kwanza (yaani anakuwa mbele kuliko wote), kwa akili ya kawaida tu, tunategemea kwamba anatakiwa afanyeje? na atakapokimbia akafika mbele (mwanzo) tutasema kafanya je? kwa nini tunajichanganya wenyewe na hali tunajua na tuna uhakika kabisa kwamba tunajichanganya? hivi unajua unavyoitumia akili yako na unavyojizoeza kuwa ndivyo unavyokuwa hivyo hivyo!
ACT inajiandaa kuchukua nchi mwakani
mkuu; kuna mtu alileta uzi humu akijenga hoja yake kwamba laiti ccm wangeamua tyoka mwanzo kukomaa kwamba wanataka serikali tatu, basi kuna kundi kubwa miongoni mwa wanaotaka serikali tatu kwa sasa lingeibuka na kutaka serikali mbili kwa nguvu zote kwa hoja ya kwamba linatoa upinzani na ikibidi lingegomea mchakato likiona linakaribia kushindwa.Hapo mimi ndipo ninapoona kwamba watanzania wengi tumeshindwa kabisa kuielewa vizuri concept ya ya kuwa na vyama vya upinzani na ni kwa vipi vyama vya upinzani vinaweza kuchangia katika mabadiliko chanya katika nchi yetu.Mkuu Feedback Katiba mpya ya nchi hii haijaanza kudaiwa mwaka 2010 kama unavyotaka watu waamini. Tumeanza kudai Katiba kuanzia miaka ya 1990. Madai ni kama nilivyoyaeleza hapo juu. Tulifanikiwa kupata moja ambalo ni kukubaliwa mfumo wa vyama vingi. Pamoja na kukubalika kwa mfumo wa vyama vingi lakini Katiba hiyo ilikuwa ni ya Chama kimoja, kimantiki. Kuna baadhi ya Ibara zilibaki kama vile za Chama kimoja, sheria mbalimbali pia hazikurekebishwa.
Sasa imekuja fursa hii hatutaki kuitumia. Nimesema kama CCM wanalilia Serikali mbili tuwaachie ili tupate Tume Huru ya Uchaguzi, Mgombea Huru, nk. Twende kwenye uchaguzi ambao utakuwa huru na haki.
Sasa kama tunakimbia na kuiachia CCM basi tunaziacha fursa nyiiingi kwa kupambania ya mfumo.
Ndugu yangu!,Hamuwezi kuwa na akili timamu kwa kuandaa sera za kushindana na cdm au cuf au nccr, wakati sie hatuli at mlo mmoja.