Thrombocytes
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 401
- 30
act haina ubaguzi wa dini. Kabila wala kanda. Act ni ya watanzania wote
act ni chama chako wala siyo cha watanzania.
act haina ubaguzi wa dini. Kabila wala kanda. Act ni ya watanzania wote
act ni chama chako wala siyo cha watanzania.
Hv hii act ina matarajio ya kushika dola?
cdm inajivuruga yenyewe hakuna mchawi juu ya kifo cha cdm na ccm. Vyama hivi vyote (ccm n cdm) vinampango wa kuwanya wtz masikin milele. Acha act chama cha vijana kisichokua na mmiliki. Wamiliki ni watanzania wote wapenda mandeleo.
mkuu inaitwa alliance for cowards ana traitors
mimi ni kijana wa kitanzania lakini act siyo chama changu.hiyo itakuwa genge la wauza sembe na wavuta bangi.
rafiki yangu narudia hivi kelele kama hizi tulisikia dimond jubilee 2010 kupitia wazee fulani but am telling that mimi sio chadema lakini mikakati ya hawa vijana ni sawa chama fulani kilichoanzisha harakati zaqke 1995 kwa lengo la kuwakomboa watu wa kundi fulani linalodhani kuwa linaddimizwa na kundi fulani
zitto kwa kutokujua au kwa kujua ataingia kwa mtego huo wa kutetea kundi fulani la watu fulani kwa wakati fulani while geting support from watu fulani na hii tumeisikia kwenye makongamano mengi na harakati nyingi ya vikundi fulani
mathematically proof
kwenye chama chochote chenye usajili wa kudumu lazima kiwe na wafuasi wenye tabia fulani
let
- Watu wenye upeo wa kitaifa
- Watu wenye upeo wa makundi fulani
- Watu wenye upeo wa Matumbo yao na familia zao
- let X be Watu wenye upo wa kitaifa
- let Y be wenye upeo wa makundi ya yaliyowatuma
- Let z be Watu wenye upeo wa Matumbo yao na familia zao
CCM
- watu wenye tabia Z ni wengi sana (kwa mfano ......unajua )
- watu wenye tabia y ni wastani, Watu hawa ni watu walioamia kutoka chama fulani cha Siasa huku wakiwa na malengo ya kumsaidia mwenyekiti wa CCM katika kulitimiza lengo la kundi la (Note that, this are not CCM , Hawana kadi ya CCM na ndio mashabiki wakubwa wa CCM na ndio wapiga kelele na kutukana kwenye Blogs)
- Watu wenye tabia X ni wachache sana (nahisi mwakembe na magufuli tunaweza kuwalazimisha kuingia hapa although am not sure )
CHADEMA
- Watu wenye tabia Z ni wachache sana
- watu wenye tabia Y ni wachache pia, hawa ni watu ambo walianza siasa wakiwa na mitazamo X lakini waliposhawishiwa na wazee, viongozi wakuu wa CCM na vyama vingine vya siasa vyenye idadi kubwa ya watu wenye tabia Y, vijana hawa wa chadema walibadilika toka tabia X na kwenda tabia Y kwa lengo la kuunganisha nguvu katika kutetea maslai ya makundi na baadhi ya watu
- Watu wenye tabia X ni wngi sana , Andi these people ndio watakifanya chama cha chadema na nguvu hata kikitisha CCM
CUF
- watu wenye tabia Z ni wachache sana kabisa
- watu wenye tabia Y ni wengi sana sana kabisa
- watu wenye tabia X ni wachache sna
ACT
ACT akiwezi fanikiwa kwasababu watanzania wanamatatizo mengi ambayo wenye kuyatatua lazima awe mtu mwye mtazamo wa kitaifa( nishati ya tanzania, maliasili zetu, ardhi yetu na sio kigoma yetu au KLM yetu )
NB
kwasababu basi chama cha ACT kinaanzishwa huku kikiwa na na wafuasi wenye Tabia Y
- kinahitaji kuchukua watu wache kutoka chadema ambao They call them wasaliti ,wamefanikiwa kwasababu chadema haitaki wasaliti
- kichukue watu wa wastani CCM wenye tabia Y ambao wanakadi ya Chama fulani cha siasa na ni wapinzani wakubwa wa Lowasa kwasababu EL hana maslai na kundi lao , ACT bado hakitafanikiwa kwsababu watu wenye tabia Y bado wana matumaini ya Lowasa kutolewa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi
- wachukue watu wengi kutoka CUF wenye tabia Y ambao ni majority, Cuf si rahisi kuridhia chama chao kife kwa kukiimarisha ACT
hayo ni Maoni yangu ambayo naamini ni Sahihi kabisa kwa siasa ambayo nimeona vyama hivi vikifanya for more than 15 year
Mkuu uwe mwepesi wa kuelewa na kudadafua mambo kwa busara. Kisiasa neno vijana hutimika ku depict watu wote wenye uwezo, sifa, morale, wa kupambana na adui yaani nguri wapinga maendeleo. Pia bila kuachilia mbali kuwalinda na kuwasamini makundi ya watu wote yaani watoto, wazee, walemavu nk.
viongozi wake ni jamii nzima ya watanzania
viongozi wake ni jamii nzima ya watanzania
mkuu we msahaulifu kinoma,kwenye post umesema katika ACT viongozi wake ni wasomi,hakuna zero,halafu hapa unasema viongozi wake ni jamii nzima ya watanzania,hivi ktk jamii nzima ya watanzania utakosa zero?,hivi watanzania wote ni wasomi kwa maana ya wewe? huoni kama umejichanganya na hujui unachoandika.kama hoja hii tu unasahaui je mambo makubwa inakuaje?
Jamaa ana kichwa cha panzi kinomaHajielewi huyo
@ abakorakamo wewe mzima kweli, vijana gani tujiunge kwenye chama chenye mkono wa makachero na ufadhili wao, huyooo mdini na mkabila ndiye msomi acheni kutumia ujinga wa tanzania kuwaibia ninyi makanjanja.......hicho si chama cha kigoma japo wanakigoma waelewa hawawezi kupoteza muda kwenye hilo genge la wasariti
zito atakuwa wa mwisho kuondoka chadema. ACT ni chama makini, akitaka kuja anakaribishwa sana, lakini.aondoke kwanza chadema
Ulakoze chane.
mkuu we msahaulifu kinoma,kwenye post umesema katika ACT viongozi wake ni wasomi,hakuna zero,halafu hapa unasema viongozi wake ni jamii nzima ya watanzania,hivi ktk jamii nzima ya watanzania utakosa zero?,hivi watanzania wote ni wasomi kwa maana ya wewe? huoni kama umejichanganya na hujui unachoandika.kama hoja hii tu unasahaui je mambo makubwa inakuaje?
act inafia hapa mitandaoni kama CD ya zitto