rlhaule
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 686
- 181
wewe jamaa siwezi kujadili hoja na wewe inaonekana ni mbishi usiyetaka kujenga hoja ila kukimbia hoja mwanzo ulisema mwenye chama hajulikani sasa hivi unadai mwenye chama anajulikana, wht damn shit is this ......
Tatizo lako unajenga hoja kiushabiki hutaki kuongea uhalisia unashindwa kuelewa tetesi na uhalisia.....hicho chama cha ACT ilikuwa ni tetesi kuanzishwa kwake haikujulikana km kweli kipo ama ni tetesi tu, na kila mmoja akijaribu kusema la kwake na juu ya mmiliki wake kama wewe ulivyosema ni cha MDINI na UKIGOMA..Kwa Wakati huo waanzilishi wake hawakujionesha wazi kwa umma km walivyo fanya hivi karibuni.Sasa huyo mdini na mkigoma ndio nani tuambie hutaki unaruka ruka tu...Kuwa Muwazi sema kwa ujasiri huyo mdini na mkigoma ni fulani na ndio chama chake tuelewe.