ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

chama chenye bendera yenye alama ya nyota kama ya al shabab. nadhani OAC wapo nyuma yake.watanzania tuwe makini sana wenzetu nigeria wanajuta na boko haramu

kaangalie bendera za uingereza au marekani zina nyota, kwa hiyo na hawa ni al shabaab?
 
kirefu cha act ni Alliance for Change and Transparency, acha kuongea mashudu
Mashudu ni chakula cha n'gombe angalau wanatoa maziwa,
Nchi hii hatuhitaji wachumia tumbo any more,sasa hivi mawazo yote yako kwenye katiba mpya
nyie mnazuka na uchuro eti "transparency",kama kweli kuna transparency kwa nini msiseme kabisa kwamba mlikuwa mnamnadi zito ili awe rais muendeleze udini?
 
kaangalie bendera za uingereza au marekani zina nyota, kwa hiyo na hawa ni al shabaab?

wewe ndio katibu mwenezi nini? act, act. chama chenyewe cha kipo kigoma tu na kwenye jf. hakuna gazeti lolote hata la udaku lishawahi kutoa habari kuhusu hiki chama cha mfukoni
 
chama chenye bendera yenye alama ya nyota kama ya al shabab. nadhani OAC wapo nyuma yake.watanzania tuwe makini sana wenzetu nigeria wanajuta na boko haramu
Umeona mkuu,mimi hata bendera yao sijaiona lkn nikiishaona manunguniko yametangulia huwa sijihangaishi kuuliza,
najua nyuma kuna nyota.
 
mkuu. ACT ni chama cha watanzania , maamuzi mengi ya chama yatakuwa yanafanywa na watanzania. sio kama chadema maamuzi yake yanafanywa na mzee mtei pale shambani kwake tengeru

Cha watanzania gani wakati kimejaa full usiri hata hakieleweki.Haiwezekani chama kikawa hakina wawakilishi eti cha watanzani.No bado nami ni mtanzania lakini nashangaa hata sina ABC ya hicho kinachoitwa cha watanzania
 
Habari za likizo kwanza Mkuu......, nasikitika sana kama nawewe mpaka leo unaupeo wa kiwango hiki, unajua sifa za chama cha siasa kusajiliwa ama kwa muda au usajiri wa kudumu, kama hujui basi hukutakiwa kui-attack hoja yangu juu ya mwanzaishaji na udini wake au ukanda wake, kama hakina mwanzilishi kamuulize jaji mutungi kwanini amesajiri chama kisicho na aliyekianzisha na kimekujaje kama hakina aliyekianzisha kuwa makini bwana si lazima kila hoja uchangie hata kama hujaielewa.

Sasa ndio useme ni cha nani, Nani kiongozi wake sio kuongozwa na hisia coz ccj kilipo anza mashabiki km wewe walisema cha Sitta na ndio mwenyekiti wake wkt waliokianzisha wengine kwa majina mengine..Hata wewe waweza anzisha chama ukakisajili ukitegemea baadae umfuate mtu fulani mwenye nguvu ili akibebe chama km mwenyekiti.Sasa km wewe unaushahidi ni cha udini na ukigoma tujuze huyo kiongozi wake mdini na mkabila sio kuongozwa kwa hisia na utupe na source.
 
Mashudu ni chakula cha n'gombe angalau wanatoa maziwa,
Nchi hii hatuhitaji wachumia tumbo any more,sasa hivi mawazo yote yako kwenye katiba mpya
nyie mnazuka na uchuro eti "transparency",kama kweli kuna transparency kwa nini msiseme kabisa kwamba mlikuwa mnamnadi zito ili awe rais muendeleze udini?

zito hausiki na ACT na wala hatumjui
 
Unaniuliza mara mbili wakati nilisha kuuliza mwanzo,vipi mbona unasema hakina ubaguzi sasa mbona unatufichaficha majina vipi tena,au ni cha kikabila hicho wachache ndio wanahodhi kila kitu

unataka majina ili uyafanyaje mkuu? au mnataka muanze propaganda zenu za udini na ukanda
 
Cha watanzania gani wakati kimejaa full usiri hata hakieleweki.Haiwezekani chama kikawa hakina wawakilishi eti cha watanzani.No bado nami ni mtanzania lakini nashangaa hata sina ABC ya hicho kinachoitwa cha watanzania

mkuu, unataka ujue nini kuhusu act ? sera zetu ziko wazi ni ukombozi wa watanzania, maendeleo na ajira kwa vijana, tumejipanga kutoa ajira kwa vijana wote wa kitanzania bila ubaguzi
 
Muulize Babu Slaa anakijua alikipigia debe alipokuwa anamtambulisha mgombea wenu Kalenga.
 
wewe ndio katibu mwenezi nini? act, act. chama chenyewe cha kipo kigoma tu na kwenye jf. hakuna gazeti lolote hata la udaku lishawahi kutoa habari kuhusu hiki chama cha mfukoni

nani kakuambia kiko kigoma tu.? act imesambaa nchi nzima kuna wawakilishi kila mkoa na kila wilaya ya tanzania...tatizo lenu misukule mmezoea sana ubaguzi
 
mkuu, unataka ujue nini kuhusu act ? sera zetu ziko wazi ni ukombozi wa watanzania, maendeleo na ajira kwa vijana, tumejipanga kutoa ajira kwa vijana wote wa kitanzania bila ubaguzi

Mi ninataka kujua majina ya viongozi unaosema wasomi na hawajawahi pata zero kwenye mtihani wowote,kwa sababu hiki chama kinanijali hata mimi nina imani utanitajia tu bila kunibagua ili niwe balozi mzuri kwa wengine
 
Sasa ndio useme ni cha nani, Nani kiongozi wake sio kuongozwa na hisia coz ccj kilipo anza mashabiki km wewe walisema cha Sitta na ndio mwenyekiti wake wkt waliokianzisha wengine kwa majina mengine..Hata wewe waweza anzisha chama ukakisajili ukitegemea baadae umfuate mtu fulani mwenye nguvu ili akibebe chama km mwenyekiti.Sasa km wewe unaushahidi ni cha udini na ukigoma tujuze huyo kiongozi wake mdini na mkabila sio kuongozwa kwa hisia na utupe na source.

mkuu. kuna watu wanakera sana. wamekazania kigoma kigoma , zito anawatesa sana. wehu kabisa hawa
 
mkuu, unataka ujue nini kuhusu act ? sera zetu ziko wazi ni ukombozi wa watanzania, maendeleo na ajira kwa vijana, tumejipanga kutoa ajira kwa vijana wote wa kitanzania bila ubaguzi

ajira kama yako ya kuleta umbea huku jf ndio mna uwezo nayo na si vinginevyo.
 
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
viongozi wake a kinda nani?
 
Back
Top Bottom