ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

huo ndo mwisho wa kufikiri wa nesi nyakarungu.ameandika ijue act. mwisho wa hoja nimesoma cjaijua nmeambulia zitto,serikali,cc ya chadema..tuliosomea foresensic investigation tuukiunga dot hayo maneno.huyu nesi ametumika
 
wengine tu wageni na hiki chama je waweza toa majina ya safu ya uongozi wa chama? au hawajulikani

hiki ni chama cha jamii nzima, viongozi wake ni watanzania wote
 
Inavoonesha ni chama cha kishirikina,mbona viongozi wake hawajulikani? halafu ni cha kibaguzi,mbona hakiwajali watoto na wazee

viongozi wake ni jamii nzima ya watanzania
 
Inavoonesha ni chama cha kishirikina,mbona viongozi wake hawajulikani? halafu ni cha kibaguzi,mbona hakiwajali watoto na wazee

Mkuu uwe mwepesi wa kuelewa na kudadafua mambo kwa busara. Kisiasa neno vijana hutimika ku depict watu wote wenye uwezo, sifa, morale, wa kupambana na adui yaani nguri wapinga maendeleo. Pia bila kuachilia mbali kuwalinda na kuwasamini makundi ya watu wote yaani watoto, wazee, walemavu nk.
 
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.

Habari nilizonazo ni kwamba bendera ya ACT ina nyota inayowakilisha waislam.

Mkuu tupia hapa picha ya bendera ya ACT kukanusha hayo.
 
Mkuu.
Alliance for coward traitors wanapata posho zao kutoka Magambani.
Nasikia Boss wao mshahara wake unapigwa panga kwa amri ya mahakama kufuatia uropokaji wake usio na ushahid na wenye kutaka sifa.

Lete ushahidi usitupeleke kibubusa.
 
Habari nilizonazo ni kwamba bendera ya ACT ina nyota inayowakilisha waislam.

Mkuu tupia hapa picha ya bendera ya ACT kukanusha hayo.

kwa hiyo nyota zinazong'ara angani usiku zinawakilisha waislamu? basi ni jambo la heri kwa sababu waislamu wanaiangazia dunia nzima
 
Back
Top Bottom