Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Hiyo nyota inawakilisha nini?
Imani ya dini yetu
Hiyo nyota inawakilisha nini?
ACT ni chama huru cha siasa, hakina uhusiano na chama chochote
Hilo jina la hicho chama kwa kirefu chake lina-sound vizuri sana ila sijui kama jina hilo litatendewa haki kivitendo.
Hiyo nyota inawakilisha nini?
acha kupotosha watu wewe...mwehu we
Sisiemu umewakambia
Wakina Ritz le mutuz big show msalani........gamba moja limemeguka
Msidhani demokrasia IPO CHADEMA tu huo niujinga kila MTU ana haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa acheni utoto na unafiki
Wewe ndo Punguani kabisa kwa kupotoka.
ACT means Alliance for coward traitors
Ndio maana badala ya kupambana na CCM wao adui yao ni Chadema
chama makini cha ACT kinajiandaa kuchukua nchi mwakani
Nyakarungu aliwahi kuandika hivi kwenye wall yake fb na kwenye liblog lake...
Leo anaijua hadi historia
we msukule wa slaa umeshalewa gongo ACT ni Alliance for Change and Transparency. pimbi mkubwa we
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
ACT ni kitengo maalum cha CCM kinachoratibu mipango ya kuivuruga Chadema.
Alliance for coward traitors