respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
Hawa Uvccm shida
kweli, wao hoja ni CDM na si chama kinachoongoza, ndio maana mi
nakubaliana na kauli ya kuwa CDM inaongoza nchi maccm yanatawala mfn.
katiba mpya haikuwa agenda yao, maoni ya rasimu 75% ni mapendekezo ya
CDM
Cc; abakorakamo
Mkuu ushaur wako hapo juu kabisa uzingatiwe na isiwe tu vyeti vya kuzaliwa bali na vyeti vya uthibitisho wa afya ya akiri maana visebengo wengi humu ndani wanautapia mlo wa akiri isije kuwa tuna jibishana na mamento humu ndani
Last edited by a moderator: