ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

Chadema mbona mnaweweseka sana na hiki chama badala ya kufanya siasa mnaanza kugombana na hiki chama kipya au kimewazidi kete nini?

Hapana Mkuu
Alliance for coward traitors (ACT)
Wameambiwa eti kufanya Siasa ili utokelezee ni lazima uwatukane CHADEMA
CHADEMA tunachofanya ni kuwaweka sawa hawa wasaliti waoga
 
Duuuh siku zote naona ----- wa hiki kinachoitwa ACT kumbe hawa masalia ndiyo wapo behind this!!!
 
Maendeleo nchini bado sana, siamini kama maendeleo ya nchi yanaletwa na vyama vya siasa, Jamani hebu tubadilikeni na tuanze kuamini katika kufanya kazi kwa bidaa, imagine Nyakarungu ni Daktari mzuri sana kama alivyo Kigwangara lakini wao wamekalia majukwaa badala ya kuudumia wananchi moja kwa moja mahospitalini, Mfano mzuri ni Thomas Nyahende ambaye ni Engineer na mwanasiasa. Thom anafanya siasa na wakati huo ni Sales Engineer mzuri sana.

Kuna post moja ililetwa hapa miaka ya nyuma kwamba Nyakarungu ni TISS
 
wakuu,
baada ya chama kikuu cha upinzani nchini chadema kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa chadema kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni act.
Act ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
sera kuu ya act ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
Act ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha act.
Naomba kuwakilisha hoja.

hicho ni chama chako na matahira wenzako waliofukuwa kutoka cdm,wasaliti na wahaini wenye tamaa ya madarak.
 
Back
Top Bottom