ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.

Kama kina dhamira ya maendeleo kwa vijana wote waache walete hayo maendeleo nami kijana nitafaid hata kama nitakuwa CHADEMA.Sijiungi nacho ng'o!2nawajua sana na lengo lenu.
 
acha uoga kijana, act ni mkombozi wako
 
Napita tu.
 
Sijuhi. Lakini kwa kauli ya Mmoja wa Think Tank wao Kitila Mkumbo kuwa Mashoga waachwe basi hili chama ni Liberal na kwa Nchi hii waliberal ni CUF tu. So labda ni Mbadala wa CUF maana CUF ilijengwa Misikitini na Hiki nasikia wanatumia njiahiyohiyo.
 
utashindana lakini utashindwa.....
 
Katibu mkuu wa ACT mm1 ametudhibitishia kwamba hiki chama ni cha MASHOGA wote walioko Tz,kwa mujibu wa BBC,sasa hizi kampeni zilifaa zipelekwe kwenye jukwaa la MASHOGA.Akihojiwa na mtangazaji mahiri wa shirika la utangazji Duniani,katibu alithibitsha kwamba mikakati imeanza lasimi mara baada ya kufukuzwa kwenye chama maarufu hapa tz baada ya kuiingiza ajenda yao na kukataliwa,hivyo basi wameamua kwa pamoja kuanzisha chama chao ambacho kitachukuwa wapumbavu wengi wasiokuwa na akili na wapenda vya bure ili kukikomoa chama kilichowafukuza na kuwavua uanachama.Makao makuu ya hiki chama yapo pembezoni mwa ziwa Tanganyika.
 
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.

Naomba kirefu cha ACT
 
Kumbe Ni Chama Cha Wasomi Wasiokimbia Shule, Mimi Niliyepata Zero Bola Nibaki Chadema
 
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.

Umeanzisha sred Kama Bango la CHAMA hiki, lakini Unayoyaongea yanakidhalilisha CHAMA . Hatuamzishi VYAMA kumpiku huyu au Yule . Tunaanzisha VYAMA kutokana an Sera tunazoamimi wananchi watazipenda.
 
Wadau nimeibiwa hati miliki....

Kama mtakumbuka heading ya mleta uzi haikuwa hii ni mm niliyeanzisha uz huu na ukafutwa na heading yangu kupewa huyu...

Ningekuwa nauwezo ningeshitaki forum hii..

Ama kweli hii ndo jf
 
Umeanzisha sred Kama Bango la CHAMA hiki, lakini Unayoyaongea yanakidhalilisha CHAMA . Hatuamzishi VYAMA kumpiku huyu au Yule . Tunaanzisha VYAMA kutokana an Sera tunazoamimi wananchi watazipenda.

ACT inajiandaa kuchukua nchi mwakani
 
Back
Top Bottom