ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

Watu wanaongea sana hawajui mwanzo wa ACT-Tanzania, hawajui misingi yake wala hawajui kuanzishwa kwake, Zitto sio mwanzilishi wala sio mwanachama wa ACT-Tanzania, hofu yenu kwake isiwasababishe mkawa wapiga ramli kila jambo zuri linaloelekea kuvuruga upuuzi wenu mkadhani ni Zitto tu ndiye awezaye kulifanya.....nimekaa kimya sana mnapotosha sana kuhusu ACT-Tanzania sasa nitawajibu...!!

ACT-Tanzania ina historia ndefu kidogo ilianza tangu mwezi 08/2013 mpaka ilipofika mwezi 11/2013 ikawa imekamilisha taratibu zote za awali hata kabla ya mgogoro wa CC ya cdm na Zitto kufikia ulipofikia,
Pamoja na yote hayo mjue hakuna mipaka ya kuwakaribisha watu, hata huyo Zitto akiona inamfaa anakaribishwa sana na wengine wote.

Kuna watu wanajifanya kuwa wanauwezo wa kuandika habari za siri za serikali mbona wameshindwa kujua kuhusu ACT-Tanzania jambo ambalo lingekuwa rahisi sana kwao?
na badala yake wamekuwa watu wa kubuni tu andiko linalowaijia vichwani tu

Muhtasari wa Kikao kilichokaa juzi kigoma ujiji kilichoongozwa na MM kiliamua kama ifuatavyo;
1. MM aliwaambia wajumbe kuwa wale viongozi ambao hawana maslahi kwa umma (viongozi wa chama) watangulie ACT
2. Wale viongozi ambao wana maslahi ya posho (madiwani, wabunge) wabaki kwanza mpaka hapo baadaye.
3. Wajumbe wa baraza kuu wanaomuunga mkono MM wameshapangwa kuvuruga mkutano utakaoitishwa, watapinga kila hoja, ngumi zitapigwa ili mkutano uvurugike kwa vurugu ya hali ya juu, ndiyo siku hiyo viongozi wenye maslahi watahamia ACT baada ya kuwahadaa watanzania
 
Msidhani demokrasia IPO CHADEMA tu huo niujinga kila MTU ana haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa acheni utoto na unafiki
 
pimbi kweli wewe nina shaka na cheti chako cha ualimu ninyi ndio mna vyeti feki inabidi tukufuatilie

Nani kakwambia cheti ndio kipimo cha kujua mambo. hicho cheti ulicho nacho wewe ndio kinachokupa busara ya kutukana watu. Ninamashaka na elimu yako ya weza kuwa ya shingo ya twiga.
 
Msidhani demokrasia IPO CHADEMA tu huo niujinga kila MTU ana haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa acheni utoto na unafiki

Hata vigenge vya ujambazi na utapeli? Demokrasia gani hiyo.Kulinda maadili ya watoto wetu tutakataa
 
Taarifa za Jikoni ni Kwamba Mwenyekiti wa ACT ni Zitto Kabwe na Katibu Mkuu ni Samson Mwigamba.Sijajua wadhifa wa Kitila Mkumbo.

Ndio maana badala ya kupambana na CCM wao adui yao ni Chadema
 
Habari msemaji?naomba bei mtakayo kuwa mnauza kata na jimbo uchaguzi 2015
 
Watu wanaongea sana hawajui mwanzo wa ACT-Tanzania, hawajui misingi yake wala hawajui kuanzishwa kwake, Zitto sio mwanzilishi wala sio mwanachama wa ACT-Tanzania, hofu yenu kwake isiwasababishe mkawa wapiga ramli kila jambo zuri linaloelekea kuvuruga upuuzi wenu mkadhani ni Zitto tu ndiye awezaye kulifanya.....nimekaa kimya sana mnapotosha sana kuhusu ACT-Tanzania sasa nitawajibu...!!
ACT-Tanzania ina historia ndefu kidogo ilianza tangu mwezi 08/2013 mpaka ilipofika mwezi 11/2013 ikawa imekamilisha taratibu zote za awali hata kabla ya mgogoro wa CC ya cdm na Zitto kufikia ulipofikia,
Pamoja na yote hayo mjue hakuna mipaka ya kuwakaribisha watu, hata huyo Zitto akiona inamfaa anakaribishwa sana na wengine wote.

Kuna watu wanajifanya kuwa wanauwezo wa kuandika habari za siri za serikali mbona wameshindwa kujua kuhusu ACT-Tanzania jambo ambalo lingekuwa rahisi sana kwao?
na badala yake wamekuwa watu wa kubuni tu andiko linalowaijia vichwani tu

Wajuzi wa mambo wameshajua zamani kwani hata ule waraka wa kihaini Zitto hakuhusika wala alikuwahaujui.
 
Hilo jina la hicho chama kwa kirefu chake lina-sound vizuri sana ila sijui kama jina hilo litatendewa haki kivitendo.
 
Watu wanaongea sana hawajui mwanzo wa ACT-Tanzania, hawajui misingi yake wala hawajui kuanzishwa kwake, Zitto sio mwanzilishi wala sio mwanachama wa ACT-Tanzania, hofu yenu kwake isiwasababishe mkawa wapiga ramli kila jambo zuri linaloelekea kuvuruga upuuzi wenu mkadhani ni Zitto tu ndiye awezaye kulifanya.....nimekaa kimya sana mnapotosha sana kuhusu ACT-Tanzania sasa nitawajibu...!!
ACT-Tanzania ina historia ndefu kidogo ilianza tangu mwezi 08/2013 mpaka ilipofika mwezi 11/2013 ikawa imekamilisha taratibu zote za awali hata kabla ya mgogoro wa CC ya cdm na Zitto kufikia ulipofikia,
Pamoja na yote hayo mjue hakuna mipaka ya kuwakaribisha watu, hata huyo Zitto akiona inamfaa anakaribishwa sana na wengine wote.

Kuna watu wanajifanya kuwa wanauwezo wa kuandika habari za siri za serikali mbona wameshindwa kujua kuhusu ACT-Tanzania jambo ambalo lingekuwa rahisi sana kwao?
na badala yake wamekuwa watu wa kubuni tu andiko linalowaijia vichwani tu

Mkuu Nyakarungu mbona hujaeleza chochote juu ya 'ijue ACT'. Badala yake
 
Huyu Jamaa anafafanua the habari za ACT Yeye ni kama nani hapo chamani? Kijana Nyakarungu nawe umeshajiunga na ACT au ndio unategemea kujiunga? Mbona wahusika wakuu hatuwaoni kufafanua hili suala?
Enzi za CCJ,CHAUMA na ADC wahusika wake wote walijipambanua vizuri tuu, sasa hiki chama cha ACT mbona tofauti. Inakuwaje mashabiki wakubwa ni wale wenye tuhuma za usaliti na hapa jamvini wanaokitangaza sana ni wapiganaji wa CCM kufa na kupona kasoro kaka yangu Mchambuzi?

Watu kama nyie mnashusha credibility ya hicho chama ambacho inategemea kukipata. Acheni sura zingine ndizo zikitangaze chama sio nyie wenye madoa kibao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom