Acheni ubinafsi na ubaguzi jf arusha wing

Filipo Nimekumiss je sema tu Arushaone kaniweka kwenye kichupa sitoki nakuambia,

Haaaah nijuavyo Arushaone atavimba kichwa balaa.

Jamani ukiingia mji wa watu tumeni hata PM kwa vingunge ili mambo yaende. Pole sana mleta mada ila Arusha tupo gado na wala hatubagui kabisa na hilo halitatokea labda kama ulibeep tu.

Karibu kwetu Chuga bana.
 
Last edited by a moderator:

Hivi mgeni ni Tonykp au ni nani........? Unajua sijaelewa........?
 
Last edited by a moderator:
Mgeni ni miye hapa...nimekuja na timu yangu kuja kucheza mechi ya ligi kuu hapo Stadium

Ooh.......kumbe weye.......stadium imehamia Bomang'ombe ujue........
 
Hivi mgeni ni Tonykp au ni nani........? Unajua sijaelewa........?

Halafu mtu wa kwanza kukutafuta ulikua ni wewe, kila nikipiga namba yako nikawa naambiwa "simu ya mteja umpigiaye imetumbukia kwenye maji, tafadhali jaribu tena atakapoikausha"
 
Jamani jamani......simu yenyewe mbona nimeshaikausha.......? Ipo hewani 14/6....
 
Leo mpaka jua lichomize ndio nitalala...

kulikoni kukesha au kazi zetu shem,pale maneno mengi ili angalao nirudishe kimoyo cha mgeni amechukia kweli,hata mi nakesha maana leo nimetolewa kidogo kushangaa dunia,
 
Haaaah nijuavyo Arushaone atavimba kichwa balaa.

Jamani ukiingia mji wa watu tumeni hata PM kwa vingunge ili mambo yaende. Pole sana mleta mada ila Arusha tupo gado na wala hatubagui kabisa na hilo halitatokea labda kama ulibeep tu.

Karibu kwetu Chuga bana.

acha tu maana inabidi nimpempe sifa ili aongeze muda wa kuja humu,du sasa kama wewe mkuu hukuwa na taarifa sasa amekujaje mgeni?
 
Last edited by a moderator:
Ooh.......kumbe weye.......stadium imehamia Bomang'ombe ujue........

ha ha ha ha ha ha,karibu na wewe dada yangu kwa pamoja ili watu8 afuruahiye ujio wake huku kaskazini ila pia kama mwenyeji vile!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom