Mgeni amekuja hapa jijini kwetu mnamkacha hii tabia yenu ya ubaguzi itoweke mara moja
Nimeshawasiliana nae, anatokea njiro na mie namsubiri! Kwani wewe upo wapi Mkuu nikupitie?
nipo maeneo ya stadium!Unamsubiri wapi mkuu
nipo maeneo ya stadium!
jamani jamani sasa marejesho ana taarifa maana mambo ya kurudi usiku najua hapendi,
Mgeni amekuja hapa jijini kwetu mnamkacha hii tabia yenu ya ubaguzi itoweke mara moja
Mamzalendo nimekumiss
nasikia umekuja kutafuta waliomtumia sms Anna Makina na Ndugai..ni kweli
Ulitaka tumfate wapi?
Nilimwambia niliko hajanipm
Lol
Ni mgeni yupi.......? Mbona sijajua hizo habari ? Amekuja Kimya Kimya........?
Halafu na wewe nakupa kesho tu kuntafuta kabla sijakupa talaka.
Ntakupa details nikitoka church.
Copy kwa Lily Flower Filipo
Karibu mgeni wanajf arusha wanaupendo cjawahi ona na hakuna ubaguzi labda taarifa imechelewa na kama unavyojua bado mwanzo wa mwaka bado haujaeleweka mwaka unaendaje na watoto wameenda shule juzi tu,halafu cunajua maandalizi ya kilimo kwa hiyo usijisikie vibaya,