Acheni ubinafsi na ubaguzi jf arusha wing

Acheni ubinafsi na ubaguzi jf arusha wing

Kwa kweli mimi sio mbqguzi wala mbinafsi,
Mgeni karibu sana kwangu hapa maeneo ya bongonyoo kijiweni kwa RPF tupige story mbili tatu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mgeni amekuja hapa jijini kwetu mnamkacha hii tabia yenu ya ubaguzi itoweke mara moja

Mkuu Kwema? Sorry Jana tulipishana kidogo tu lakini bado nipo tutaonana, Shukrani Kwa ukarimu wenu, nimekutana na Passion lady na Fillipo hope na wengine tutazidi kuonana najua muda umekuwa tatizo kidgo kutokana na majukumu.
 
Kwa kweli mimi sio mbqguzi wala mbinafsi,
Mgeni karibu sana kwangu hapa maeneo ya bongonyoo kijiweni kwa RPF tupige story mbili tatu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Shukrani mkuu tuombe uzima ntakutafuta
 
Back
Top Bottom