Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Nakuja hapo chap!!
Pouwaa
Nakuja hapo chap!!
Nimeshawasiliana nae, anatokea njiro na mie namsubiri! Kwani wewe upo wapi Mkuu nikupitie?
Mgeni amekuja hapa jijini kwetu mnamkacha hii tabia yenu ya ubaguzi itoweke mara moja
Ahahahaaaaaaaa.....kwa wewe umetokwa wapi kusikko na ubaguzi mkuu
same here,mzima jamani?mgeni huyu eti rangi yake ni ipi maana unajua kila rangi inamvuto wake pengine Crashwise ameona zile rangi zinazoaffect watu wa A town?
Kumbe tuna mgeni,ngoja niende,ila kweli watu tulijikausha bora umetubusti tukamsabahi mgeniWe huruhusiwi kwenda ....!!!staki stress! !!!!
Si naenda kumsalimia mgeni jamani,bas twende wote kupunguza stress lool!
Nani amekuruhusu uende huko? ?unanipa stress ati! !!
Jiwe Linaloishi kaka wewe ni mtu wa kupotea Chugga kweli??? au hii maneno imewekwa hamira...
Nakuja hapo chap!!
My other I'd plse there was I mistake
Chineeeekeeeeeee!mtoto wa mchungaji huyo,ubaguzi kwake mwiko!
We unaonaje chugga??