Acheni ubinafsi na ubaguzi jf arusha wing

Acheni ubinafsi na ubaguzi jf arusha wing

Haaaah nijuavyo Arushaone atavimba kichwa balaa.

Jamani ukiingia mji wa watu tumeni hata PM kwa vingunge ili mambo yaende. Pole sana mleta mada ila Arusha tupo gado na wala hatubagui kabisa na hilo halitatokea labda kama ulibeep tu.

Karibu kwetu Chuga bana.

Jiwelinaloishi umesoma hiyo? ???
 
Last edited by a moderator:
Ndio hata mimi nashangaaa...tokea lini mwenyeji nikakaribishwa....

ha ha ha ha ha ha,karibu na wewe dada yangu kwa pamoja ili watu8 afuruahiye ujio wake huku kaskazini ila pia kama mwenyeji vile!?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha watu wanachambana duh makavu live
 
Back
Top Bottom