Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,421
- 40,398
- Thread starter
- #61
ha ha ha ha,ata mimi nimeona hivyo kwa sababu kulikuwa na maazimio ya kumpa laki 9 mwezi wa tisa.....kutokuja kwake nimetumia kama sababu ya kujiondoa kwenye hayo majukumu.Nimeshablock mawasiliano kabisausiwaze. Maana haujui mungu anakuepusha na nini.
mimi nikimtumia demu nauli asipokuja uwa nashukuru mungu.
Wala sigombani nae demu maana naamini kuna kitu kimeniepuka.
juzi TU kuna mmoja yupo arusha nimemtumia nauli aje dar. Kakausha. Sijamtafuta.