Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

usiwaze. Maana haujui mungu anakuepusha na nini.
mimi nikimtumia demu nauli asipokuja uwa nashukuru mungu.
Wala sigombani nae demu maana naamini kuna kitu kimeniepuka.
juzi TU kuna mmoja yupo arusha nimemtumia nauli aje dar. Kakausha. Sijamtafuta.
ha ha ha ha,ata mimi nimeona hivyo kwa sababu kulikuwa na maazimio ya kumpa laki 9 mwezi wa tisa.....kutokuja kwake nimetumia kama sababu ya kujiondoa kwenye hayo majukumu.Nimeshablock mawasiliano kabisa
 
Hahahahahaha ndo ujinga huo... Hakuna pesa tamu kama ya nauli jamani nasema hakunaaaaaa

Yaani ukienda kuitumia huskii maumivu wala uchungu unaenda kwa mariiingo kabisa heheheheheh
Umeona eeh.. mnaongea tu kwenye cm hata hakuon muda mwingine hupokei hata cm yenyewe basi burudan
 
usiwaze. Maana haujui mungu anakuepusha na nini.
mimi nikimtumia demu nauli asipokuja uwa nashukuru mungu.
Wala sigombani nae demu maana naamini kuna kitu kimeniepuka.
juzi TU kuna mmoja yupo arusha nimemtumia nauli aje dar. Kakausha. Sijamtafuta.
Kumbe kuna watu bado mna pesa za kuchezeaa
 
ha ha ha ha,ata mimi nimeona hivyo kwa sababu kulikuwa na maazimio ya kumpa laki 9 mwezi wa tisa.....kutokuja kwake nimetumia kama sababu ya kujiondoa kwenye hayo majukumu.Nimeshablock mawasiliano kabisa
Sasa hyo fanya kuntumia mimi nije this weekend,hahahahàah.
 
Utakuwa una tatizo la akili mkuu!,
Nipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli.......baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari...akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.....ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano. Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.
 
Mwanamke yuko radh kujidhalilisha kwa elf20 yan...sasa elfu 20 ni ya kuomba kwa kudanganya.dah..hawa wenzetu wana kazi
 
Nipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli.......baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari...akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.....ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano. Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.
Mkuu na ww umepigwa daah pole,
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom