YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
- Thread starter
- #41
Kipindi hakihitaji complications jje hilo ni kwa simu za aina zote? Akitokea Wa kukuokota anajua hayo ya sijui emergence namba zilipo?Mbona ipo, unaselect namba za emergence
Nafikiri kuna MTU awe na kasimu kengine kadogo katakatifu ka Nokia torch ambako ataweka namba takatifu za ndugu tu bila kukawekea password hilo simu lingine lenye password lililojaa majina ya mashetani kwenye phone book liendelee kubaki na password yake sababu mawasiliano kati ya shetani na mtu ni siri.Mtu awe na simu takatifu na simu ya mashetani