Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

Mbona ipo, unaselect namba za emergence
Kipindi hakihitaji complications jje hilo ni kwa simu za aina zote? Akitokea Wa kukuokota anajua hayo ya sijui emergence namba zilipo?

Nafikiri kuna MTU awe na kasimu kengine kadogo katakatifu ka Nokia torch ambako ataweka namba takatifu za ndugu tu bila kukawekea password hilo simu lingine lenye password lililojaa majina ya mashetani kwenye phone book liendelee kubaki na password yake sababu mawasiliano kati ya shetani na mtu ni siri.Mtu awe na simu takatifu na simu ya mashetani
 
boss hizo info za daktari ndizo husaidia na kuwapata ndugu wa mgonjwa kwenye nchi zilizoendelea maana dakt anakuwa na address yako huko ofisini kwake mfano nyumba namba 40 mtaa wa lumumba so inakuwa rahisi kupata ndugu za mgonjwa
Hiyo ni kwa nyie Wa maofisini wenye ma daktari wenu binafsi
 
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha


Yehodaya akili zako saa zingine unazjua mwenyewe nimecheka sana jamani..Ee Mungu usinichukue mapema hivi jamani😭😭
 
Simu za siku hizi zina-medical ID hata ikiwa locked 🔒 unaweza ku access ukapata namba ... group la damu... na taarifa nyingine muhimu #iphone
 
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
Hapana mkuu simu ni yangu so nikifa mimi na simu nayo imekufa.😣

Once a legend said "If you are good at something, never do it for free"
 
Tunaziwekaje hizo simu za emergency mode, mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mimi simu yangu unaadd kupitia kwenye contacts. Then hizo taarifa zitakuwa accessed hata kama simu yako ipo locked.

N.B.
Simu za kizamani hazina hiyo kitu.
20200429_180922.jpeg
Screenshot_20200429-180832.jpeg
 
Hivi ndo vitu muhimu vya kufundishana.sio kutoa parswed.
Hembu dear tufundishe.kama hutojali
Ipo hivi... Baadhi ya simu unaweza kuadd taarifa ambazo mtu yoyote ataweza kuziaccess hata kama simu yako itakuwa ipo locked. Na siyo kuziaccess tu, ataweza hata kupiga kwenye namba za simu ambazo umeweka huko kwenye emergence mode.

Mfano kama mimi simu yangu hizo taarifa unaziweka kwenye contacts. Yaani ukiingia kwenye contacts kuna sehemu ya kujaza info zako.

Hii hapa

20200429_181645.jpeg


Then ukiingia hapo itakuja hivi

20200429_180922.jpeg


Then ukiingia hapo juu kulia palipoandikwa edit itakuja hivi

Screenshot_20200429-180832.jpeg


Ambapo hapo utaweza kujaza hizo info.


Na kama ukitaka kuzipata kama simu ipo locked, Utaingia kwenye emergency call thrn utabonyeza hapo nilipolocate.

20200429_181951.jpeg


Hapo ndio utazipata hizo info...

Pia kwa mtu anayehitaji kuweka hizo info kwa simu yake ni vizuri akajaribiu kusearch youtube... ..
 
Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Lipo hili, kuna namba unaziweka kama emergency calls, hizo zaweza pigwa bila kufungua password ya simu, tena waweza weka taarifa zako zingine muhimu kama blood group, any allegies ulizonazo nk

Stay home, stay safe
Corona kills
 
Bahati nzuri smart phone zina feature za emergency situation, Mimi katika hio emergency feature nimeweka Medical Details zangu kama Blood group, Allergy na vitu sensitive ambavo ikitokea critical còndition na siwezi kuzungumza they can go through na wataona what is it, ila pia nimeweka emergency numbers just in case unaweza ku acces hizo health information na kupiga izo namba bila kutoa passcode au password ya simu.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom