Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
Si ni nyie wenyewe mliotunga sheria inayokataza mtu kutumia simu bila password? Imekuwaje tena?
 
Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Hii wameshafanya tayari kama simu yako ni android 9 utakuwa umeliona hilo, Wameweka chance ya ku add 2 phone number ambazo mtu anaweza kupiga bila pattern/password wameenda mbali zaid mpaka kuweza kuweka ujumbe mfano kama ww unakifafa unaweza kuweka maelezo ya emergency ambayo endapo utadondoka basi mtu anaweza kusoma na kujua tatizo lako mapema na kama msaada basi utapatiwa
 
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
Acha ushamba, Password walal haina shida kabisa, ngoja niwafundishe matumizi ya simu kukiwa na dharura, ntakutaja nikishaandaa mada
 
Hii wameshafanya tayari kama simu yako ni android 9 utakuwa umeliona hilo, Wameweka chance ya ku add 2 phone number ambazo mtu anaweza kupiga bila pattern/password wameenda mbali zaid mpaka kuweza kuweka ujumbe mfano kama ww unakifafa unaweza kuweka maelezo ya emergency ambayo endapo utadondoka basi mtu anaweza kusoma na kujua tatizo lako mapema na kama msaada basi utapatiwa
Ahsante sana. Kwa kuanzia kwa sasa tunaweza kuandika namba kama tatu hivi kwenye kikaratasi na kukifanyia lamination kisha kukiweka kwenye wallet ili likitokea la kutokea yeyote atakaekimbilia kwenye wallet aone namba hizo maana wengine wanaoweza kutoa msaada hawajui sehemu gani ya simu wanaweza kupata hizo namba za emergency.
 
Sijui kama mtoa mada unafahamu kuwa kuna kitu kinaitwa Emergency information.Hizi unaweza pata hata smart phone ya mlengwa ikiwa na password.
Utazipata hizi information endapo tu mwenye simu ameziweka.
 
Emergence namba nazani kila simu inayo ila shida ni watu wachache ambao wanajua au wataweza kuifikia option hyo pindi watakapoipata simu yako. Japo kuna option ya ku display number na ujumbe kwenye simu hata kama umei lock pindi tu utakpowasha display.
20200430_004559.jpg

teaching fools some basic rules
 
Back
Top Bottom