Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

Waambie hao mkuu
Moro ni nchi kabisa inayojitegemea kwa maana mahitaji muhimu ya binadamu utayapata Moro
Mfano
Umeme wa Tanzania unatoka nchini Morogoro
Viwanda vikubwa vya Sukari vinatoka nchini Morogoro
Madini kibao nchini Morogoro Stend ya mabasi nzuri zaidi kupita zote nchini Morogoro
Tusimalizie utamu maana nchi ya Morogoro unaweza kutembea siku zima na bus tena kwa speed 120 na usiimalize
 
sasa kama nimji wa hovyo unakuja kulima ili iweje ..siuende ukalime huko kwenye mji ambao sio wa hovyo ""!?
hivi hujui moja ya tabia za watu kuhama hama nikwajili ya kutafuta mazingira mazuri yakuendesha maisha yao na moja ya sifa za mazingira hayo ..nikilimo ..ufugaji na uvuvi...(mengine utamalizia mwenyew)"" so huoni kuwa mpaka hapo umeshaupa thamani huo mkoa bila yakujua kuwa umeupa thamani ""
maana katika pilika pilika zako zakilimo ipo siku genye zako zitakuponza utampa mimba mtoto wawatu then finally utajiukuta rasmi unakuwa raia wa Moro ....hahaa Moro stand up
Hajui huyu kuwa Crop cultivation na stock keeping ni mojawapo ya sifa ya mji ndio maana kuna nchi zinazoongoza kwa kilimo zingine kwa ufugaji.
 
Waambie hao mkuu
Moro ni nchi kabisa inayojitegemea kwa maana mahitaji muhimu ya binadamu utayapata Moro
Mfano
Umeme wa Tanzania unatoka nchini Morogoro
Viwanda vikubwa vya Sukari vinatoka nchini Morogoro
Madini kibao nchini Morogoro Stend ya mabasi nzuri zaidi kupita zote nchini Morogoro
Tusimalizie utamu maana nchi ya Morogoro unaweza kutembea siku zima na bus tena kwa speed 120 na usiimalize
hawajui Hawa vilaza ....wanajitia wehu tu hapa....wakisikia Moro basiii hawataki jua kiundani kuna nini na nini pale ....sasa nikiwaambia kuwa tutalikausha lile bwawa halafu tuone kam nchi nzima haijawa ktika giza
 
khaaa kwahiyo kwakuwa wew hauji basiii wataka kuwa msemaji wawatu wote wa dar mkuu"" wenzako wanaoishi dar wanakwenda Moro kula bata tena wengi tu "" mnooo "" kama wew huwezi kwenda basiii haimaanishi kuwa wengine hawawezi kufnya hvyo "" then niliposema kuwa watu wanatoka dar sikuwa na maana kuwa Moro ni the best zaidi ya dar...sikuwa na maanisha kuwa niwatu wote wa dar huwa wanakwenda moro kula bata pia....NI sawa sawa na kijana wakiume mkazi wa dar aache kuoa dar kisha aende kuoa tanga ""? tunaweza kusema kuwa dar hakuna wanawake au "" then waweza kukaa na kuhoji kabisaa kuwa yaani mimi niache kuoa dar niende kuoa tanga ..like seriously "" yaani unawaingilia watu katika interest zao "" umeshaana kuwa chagulia watu namna yakuishi ......daaahhh leo umeni staajabisha sana mkuu..au acc yko ipo hacked....hahaaa
Mimi ni yule yule but you are too slow.....nimekwambia mimi nakuja Moro kwa Mambo fulani ya utulivu. Hizo mambo za samaki samaki naziacha Dar siwezi kuzifuata Moro. Mistari yangu miwili inatosha kujibu hio insha yako.
 
yaani wakitishwa kidogo na vicruser mbiooooo hahaa
Siyo mbio tu na kojo juu siku moja likitoka ata dege moja hapo mzinga likazunguka mitaa ya kwao basi watabaki kujificha ndani na kujinyea.
 
Vijana wa dar mkija moro tunawaoneaga sana zaidi ndio tumewapa maujanja kutoka kwa madogo wa pale Chamwino .

Nyie battle lenu labda kulegeza Sauti ndio mtashinda na kukaa na kina james delicious.
Naona unalitendea haki jina lako.
 
mkuu kuna sehemu inatwa samaki samaki ...watoto wazuri wote utawakuta hapo "" kiza kikiingia tu panakuwa kama mchana ....yaani nikituo cha tatu tu kutoka Moro terminal ukiwa waelekea Dodoma road.watoto wazuri.game LA kutosha .Nyama choma kwa wingi na mziki wa band mwanzo mwisho....sogea pande hizo aisee
Katika mikoa iliyonyimwa wanawake wazuri Moro inashika no moja.
 
Mimi ni yule yule but you are too slow.....nimekwambia mimi nakuja Moro kwa Mambo fulani ya utulivu. Hizo mambo za samaki samaki naziacha Dar siwezi kuzifuata Moro. Mistari yangu miwili inatosha kujibu hio insha yako.
anhaaa kama wewe huwezi basiiii sawa ....waache wanaoweza kuja ""wajivunie ufahari wa Moro "" mkuu maaana kila mtu ana interest zake ....kuna wanaokuja kwajili yakupumzika kule juu Moro hotel na kufarijika na upepo mwanana toka pale """utulivu tosha kabisaaa
 
hawajui Hawa vilaza ....wanajitia wehu tu hapa....wakisikia Moro basiii hawataki jua kiundani kuna nini na nini pale ....sasa nikiwaambia kuwa tutalikausha lile bwawa halafu tuone kam nchi nzima haijawa ktika giza
We waache tu hawajui kwamba mistake kidogo ikitokea kidatu ndio kunakuwa na mgao Nchi nzima .
 
Waambie hao mkuu
Moro ni nchi kabisa inayojitegemea kwa maana mahitaji muhimu ya binadamu utayapata Moro
Mfano
Umeme wa Tanzania unatoka nchini Morogoro
Viwanda vikubwa vya Sukari vinatoka nchini Morogoro
Madini kibao nchini Morogoro Stend ya mabasi nzuri zaidi kupita zote nchini Morogoro
Tusimalizie utamu maana nchi ya Morogoro unaweza kutembea siku zima na bus tena kwa speed 120 na usiimalize
Siyo nchi ni bara kabisa linalojitegemea likiwa na nchi zake ndani
 
Haiwezi kutokea morogoro ukawa mji wa kuvutia hata siku moja, mvuto wa jiji ni tall towers-sasa nyie na mizinga hiyo mtawezaje kunyanyua mijengo ya maana na mirefu mkuu?
Moro itabaki kuwa na Nyumba fupi fupi tu kama waruguru walivyo,samahani lkn maana ukweli unauma.
😛 😛 😛 😛 😛

HUIJUI VIZURI MOROGORO WEWE. KAMA ULIFIKA BASI ZAMANI SANA. SIKU HIZI UJENZI WA MAGOROFA MOROGORO NI MKUBWA SANA.
 
Katika mikoa iliyonyimwa wanawake wazuri Moro inashika no moja.
Na kwa taarifa yako wako wanaume makabila kibao wakifika moro wakijiroga kuwa na mademu wa huko basi hawarudi kwao wanazamia jumla chezea mapenzi ya mademu wa moro hawana Ufundi ila ukiingiza hauchomoi .
 
Moro uswahili mwing!!
si kama dar tu ..tena dar ndio usiombe ...kwa Mara ya kwanza ktika maisha yangu wacheza uchi ktika vigodolo nimekuja kuwaona dar....wahaya wauza papuchi dar ..vigodolo dar (Moro wameiga tu)
mashoga nimewajulia dar"" watu kuchambana mchana kweupe kisa wamechukuliana mabwana dar...mtoto kutembea na mzazi wake dar..mtoto wakike kuchangishwa Pesa ndio apate kula dar ....yaani unaanzaje kuitoa dar...na uswahili ilhali kuna Manzese..temeke.mbagala..m/Nyamala..kwakopa..tandale ..kwa Ali maua " kigamboni " buguruni..kwa mnyamani'' kiwalani''
wewe Jamaa vipi aiseee...kuna sehemu yenye mambo ya kiswahili tz kam hzo
 
Na kwa taarifa yako wako wanaume makabila kibao wakifika moro wakijiroga kuwa na mademu wa huko basi hawarudi kwao wanazamia jumla chezea mapenzi ya mademu wa moro hawana Ufundi ila ukiingiza hauchomoi .
Ni kweli mafundi ila uzuri wamenyimwa😀😀
 
Back
Top Bottom