Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

Imebaki Ulanga pekee ndiyo hakuna Wasukuma,mmebaki Wandamba,kulogana kwa kwenda mbele
 
Jiwe alisema eti anapenda nyimbo ya Afande Sele inaitwa Morogoro, anasema kwenye video anaonekana Afande Sele yupo barabarani anarusha miguu yake taratibu,

tuwekee hapa hiyo nyimbo yenu ya mkoa.
 
Haiwezi kutokea morogoro ukawa mji wa kuvutia hata siku moja, mvuto wa jiji ni tall towers-sasa nyie na mizinga hiyo mtawezaje kunyanyua mijengo ya maana na mirefu mkuu?
Moro itabaki kuwa na Nyumba fupi fupi tu kama waruguru walivyo,samahani lkn maana ukweli unauma.
😛 😛 😛 😛 😛
ingekuwa vivutio ni tall towel basi ata mbuga zingekuwa magorofani moro inavivutio kibao na ndio vinavyovivutia moro kwa ujumla.

Kuna mikumi.
Selous
Milima ya udzungwa na nina hakika ata maji yake umeshawahi kuyanywa.
Milima ya uruguru.
Kuna machimbo kibao kama huko matombo .
Mahenge

Na ndio maana kuna wageni wengi wanazamia kutafuta maisha moro.

Moro wacha iitwe moro wewe .
 
Huko kote ulikoorodhesha mi nimefika.Wanaolima na kufanya kazi wengi wao ni wakolomije ndiyo wameikamata morogoro yote hivi Sasa.
Kwa hiyo wazawa wanakula nini acha uzwazwa unafikiri miji yote wanakaa wazawa .

Dar yenyewe Asilimia kubwa imeendelezwa na wageni wenyeji chao kigodoro tu.

Ukizungumzia maendeleo ya mkoa hatuzungumzii makabila ukabila ulishapigwa stop na mwalimu tunazungumzia yule mtu anaekaa pale kwa wakati husika na anachofanya kwenye huo mkoa.

We unafikiri msukuma akijenga Nyumba inakuwa iko wapi si moro.
 
Lupilo na Malinyi,Wasukuma ndiyo wenye miji.Ukiuliza mwenyeji wa eneo husika au mzawa,utaambiwa mtendaji,wenyeji zaidi ni madereva wa bodaboda
Acheni ukabila na Dar je wakina nani ndio wenye mji?
 
Mji kasoro bahari tafsiri yake kuwa imekosa bahari tu Ila kila kitu kipo. Zero IQ au nimekosea maana?
 
moro bado Local sana!! Full vigodoro kama Kilwa tuu !!
Labda usema panafaa kwa kilimo ila sio kula bata!
hujui kitu wewe tulia.....watu wanatoka mbeya huko ..dar .kuja kula bata Moro ...au waiangalia Moro hii ya juzi "" unamjua mbaraka mwishehe wewe """!??
skunk kabisaaa
 
Back
Top Bottom