Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

Kinachowapaisha dar ni yale majengo ya serikari na ofisi za biashara za kimataifa lakini wenyeji wake ni waswahili kuliko uswahili wenyewe nenda huko kigogo,Tandale ,magomeni ,jangwani na maeneo kibao ndio utajua uswahili wao nyumba zimejengwa slim kama za kigogo.
hahaa hatari sana ..hayo maeneo yana uswahili uliojaa laana cjwahi kuona aiseee"""
 
Hahaha.labda sio Moro ninayoifahamu Mimi.
Mademu wa moro wanajiheshimi na ndio maan huwezi kuwaona,nyie mnataka muwaone wakiwa na visini tight sijui modo na manguo nguo ya hajabu hajabu ndio mjue huo mji una mademu.

Na shukuru umeishi moro ukiwa mwanamke ungekuwa mwanaume basi ungeshavutwa kwenye Nyumba ya Urithi kwa mwanamke maana walivyo ukichomeka huwezi kuchomoa Wako Natural mpak kwenye papa.
 
advance nimesoma moro......wilaya flani hivi.

nimewala sana wadada wa huko, hawajui kukataa, unamla bure bila hata senti, tena unaenda kwake unakuta kachinja na kuku kabisa unapiga supu kwanza....

shule yetu ilikuwa bording, kwa hiyo tukienda mtaan wadada walikuwa wanatuthamini sana, pia walituweka kwenye class flan hivi ni ngum kukukataa...

Mungu saidia, nimefanya uhuni sana moro....

sifa kuu ya moro, wakarimu , alafu kule kuna vitu vingi maisha sio magumu sana, changamoto ni maji yao tu full typhoid.
we kijana wa Mzumbe Secondary nenda kapime afya kile kijiji cha Changarawe mademu wote mliokuwa mnakula wamekufa kwa ngoma
 
Mademu wa moro wanajiheshimi na ndio maan huwezi kuwaona,nyie mnataka muwaone wakiwa na visini tight sijui modo na manguo nguo ya hajabu hajabu ndio mjue huo mji una mademu.

Na shukuru umeishi moro ukiwa mwanamke ungekuwa mwanaume basi ungeshavutwa kwenye Nyumba ya Urithi kwa mwanamke maana walivyo ukichomeka huwezi kuchomoa Wako Natural mpak kwenye papa.
Mmmmmh.. Uzuri wa MTU haujifichi hata akivaa gunia.
 
Wakina james wako kwao na kina kaoge walifia kwao pia.
ndio yaani acha ..kuna katoto Fulani kanaishi pale kinondoni manyanya kanaitwa maulidi chenyew kanajiita mopao nikapunga na kanaishi na wazazi wake "" aiseee ..mambo kama haya Moro hakuna
 
Back
Top Bottom