Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

si kama dar tu ..tena dar ndio usiombe ...kwa Mara ya kwanza ktika maisha yangu wacheza uchi ktika vigodolo nimekuja kuwaona dar....wahaya wauza papuchi dar ..vigodolo dar (Moro wameiga tu)
mashoga nimewajulia dar"" watu kuchambana mchana kweupe kisa wamechukuliana mabwana dar...mtoto kutembea na mzazi wake dar..mtoto wakike kuchangishwa Pesa ndio apate kula dar ....yaani unaanzaje kuitoa dar...na uswahili ilhali kuna Manzese..temeke.mbagala..m/Nyamala..kwakopa..tandale ..kwa Ali maua " kigamboni " buguruni..kwa mnyamani'' kiwalani''
wewe Jamaa vipi aiseee...kuna sehemu yenye mambo ya kiswahili tz kam hzo
Kinachowapaisha dar ni yale majengo ya serikari na ofisi za biashara za kimataifa lakini wenyeji wake ni waswahili kuliko uswahili wenyewe nenda huko kigogo,Tandale ,magomeni ,jangwani na maeneo kibao ndio utajua uswahili wao nyumba zimejengwa slim kama za kigogo.
 
si kama dar tu ..tena dar ndio usiombe ...kwa Mara ya kwanza ktika maisha yangu wacheza uchi ktika vigodolo nimekuja kuwaona dar....wahaya wauza papuchi dar ..vigodolo dar (Moro wameiga tu)
mashoga nimewajulia dar"" watu kuchambana mchana kweupe kisa wamechukuliana mabwana dar...mtoto kutembea na mzazi wake dar..mtoto wakike kuchangishwa Pesa ndio apate kula dar ....yaani unaanzaje kuitoa dar...na uswahili ilhali kuna Manzese..temeke.mbagala..m/Nyamala..kwakopa..tandale ..kwa Ali maua " kigamboni " buguruni..kwa mnyamani'' kiwalani''
wewe Jamaa vipi aiseee...kuna sehemu yenye mambo ya kiswahili tz kam hzo
Sasa Moro mjini yote hata kimara kubwa hayo mambo yote yatafanyikia wapi ?....😀😀 nisamehe mkuu.
 
Katika mikoa iliyonyimwa wanawake wazuri Moro inashika no moja.
Dada zangu wangu wa Morogoro pitieni hapa. Mje mjibu hii kashfa ya Mrembo Agata. Sitaki kuamini kama mtakubaliana .

Sema msisahau kuja na evidence za kumpinga.

[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Punguza uchonganishi mkuui..😀 ila wakija hapa wasisahau kuweka picha za miguu yao..
 
si kama dar tu ..tena dar ndio usiombe ...kwa Mara ya kwanza ktika maisha yangu wacheza uchi ktika vigodolo nimekuja kuwaona dar....wahaya wauza papuchi dar ..vigodolo dar (Moro wameiga tu)
mashoga nimewajulia dar"" watu kuchambana mchana kweupe kisa wamechukuliana mabwana dar...mtoto kutembea na mzazi wake dar..mtoto wakike kuchangishwa Pesa ndio apate kula dar ....yaani unaanzaje kuitoa dar...na uswahili ilhali kuna Manzese..temeke.mbagala..m/Nyamala..kwakopa..tandale ..kwa Ali maua " kigamboni " buguruni..kwa mnyamani'' kiwalani''
wewe Jamaa vipi aiseee...kuna sehemu yenye mambo ya kiswahili tz kam hzo
Itoshe kusema Tanzania hakuna mkoa usio na mambo ya kiswahili swahili.
 
Back
Top Bottom